msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Last edited by a moderator:
Inategemea na choo chenyewe ni kipi? Hivi vyoo vya stendi za bongo unataka kuniambia vina bakteria wachache kuliko meza yako ya ofisini? Acha masihara wewe, ile tafiti ilikuwa inakusudia vyoo vinavyosafishwa vizuriBakteria waliopo chooni ni 1000 times less ya wale walio mezani.
nhh! wewe umeyajuaje hayo?
kunamambo ya kishirikina anataka kutuletea huyu.
Ninachofahamu ni kwamba:
1. Chumvi ni dawa ya kufukuza mambo ya giza yasikudhuru, kwani hata baadhi ya maaskofu/wachungaji huwa wanashauri kwamba mbali na maji ya baraka, pia kumwaga chumvi kuzungukia kitanda chako kabla ya kulala ni jambo jema.
2. Inasemekana kwamba katika nyumba, "mambo ya giza" hupendelea sana kukaa bafuni/chooni.
Nimetumia neno "mambo ya giza" kumaanisha yale yale anayojadili mtoa mada.
Vinginevyo tumweke mungu mbele, yeye ndiye mlinzi wetu wa ukweli na uhakika.