Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

Last edited by a moderator:
such a romantic basketball lady!

rudi tena mzigoni kisebuleni sebuleni... dribble mara moja moja sio mbaya!

attachment.php

Mkuu excel ulisemaga unapiga hii makitu!!! Ngoja nikipita pande za ud itabidi unifundishe mkuu!! Maana sisi wengine michezo yetu daaahh...naiman hata basket bal lady Karucee atanisaidia hapa...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu excel ulisemaga unapiga hii makitu!!! Ngoja nikipita pande za ud itabidi unifundishe mkuu!! Maana sisi wengine michezo yetu daaahh...naiman hata basket bal lady kurucee atanisaidia hapa...

Hahahaha. Unaupenda eeh?
 
Hahahaha. Unaupenda eeh?

Hehheeee naupenda shida ni kuucheza...hapo ndo kuna balaa!!! I used to watch and1 movies... zilinifanya nikaupenda huu mchezo!!! U still playing right? Au umestaafu?
 
Hehheeee naupenda shida ni kuucheza...hapo ndo kuna balaa!!! I used to watch and1 movies... zilinifanya nikaupenda huu mchezo!!! U still playing right? Au umestaafu?

Haven't played since 2010. And I doubt I still have what it takes to play.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom