Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

Haven't played since 2010. And I doubt I still have what it takes to play.

Why not? Miaka mitatu si mingi kiivo... we anza piga tizi ..mchaka mchaka...na kupiga basket kwa mbali!!! Stamina ndo mpango mzima kwenye hiyo gem labda kama hauko tiari kuanza...
 
Why not? Miaka mitatu si mingi kiivo... we anza piga tizi ..mchaka mchaka...na kupiga basket kwa mbali!!! Stamina ndo mpango mzima kwenye hiyo gem labda kama hauko tiari kuanza...

If it ain't one thing its the other.
 
Mkuu Ntuzu unajiondoa kisailensa ivo.. hahahaha.. kiongozi OLESAIDIMU uwe na amani tu. Hata Kipenzi changu Karucee anajua hamna kitu nyuma ya pazia. Ni Ntuzu tu.

Yeah Ntuzu anajiondoa baada ya kuona unatumia jina lake kutangaza pambano ambalo kumbe una ajenda yako nyuma ya pazia sasa unamtumia kama muhuri tu.....!!!!!!

Hapo red hapo natumai Ntuzu pia haaamini hakuna kitu nyuma ya pazia!!!!!
Karucee huyu anaingia sasa hivi matatizoni huku anajiona
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ole Mara nyingi nikimuona Karucee peke Yake lazima nikuite uje Au humuuliza Ole hajambo? Na bila shida hujibu vema tu hajambo na ukishakuja mwenyewe basi nawaacha mpige story zenu za ndani etc! Lkn Jana nikashangaa pambano latangazwa ghafla na Karucee wako akahamia kwa Tized Na makiss kibao yakamwagwa! Mimi nikaona nijitoe tu! Aku! Mi simo! Bora umuweke kwa sale tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom