Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

incase nikichokozwa...halafu kuna u refa.....pale pia nataka nitoe support incase ikihitajika....inabidi niwe nimejiandaa
Kuna mtu amekuchokoza mtawa wangu? hebu wataje apa chap chap sana
 
mtu chake sawa..ila kuwafikia wasukuma asee,sidhani
Kiroho safey huwa napenda
kujifunza kisukuma sana. Mabinti wa huko wakarimu ila hawamfikii mngoni
wangu DEMBA.
 
Last edited by a moderator:
Halafu simwoni Karucee kwen hii sredi sijui ameblack out?
 
Last edited by a moderator:
mwaya miss neddy asione nimekatiza mtaa! Lazima yupo nyuma kama kivuli.

Ngoja uone sasa balaa atakayoniletea.

Nie yake Ennie abaki pekee yake na hapa sing'atuki kwa Ole ng'oooooo!
hahahaha paragraph ya mwisho ndo imenifumbulia fumbo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom