Sawa Kiongozi.. nilikua nakuepusha na kichapo ila kwa kua umekomaa na pambano. Limepitishwa na Refarii ni mwallu & Co. Karucee atakua komandoo getini kukusanya viingilio vya kwenda kupoozea na chochote baada ya huo mtanange mzito.
naommba kujua hapa disaksheni imahamia wapi mbona mkuu Tized na Ntuzu mpo mashindanoni? mwalluKaruceeEnnieOLESAIDIMU inaonekana kama mna ufahamu mzuri, sijaone maneno mengi ya mpira wa mikono apa
Sawa Kiongozi.. nilikua nakuepusha na kichapo ila kwa kua umekomaa na pambano. Limepitishwa na Refarii ni mwallu & Co. Karucee atakua komandoo getini kukusanya viingilio vya kwenda kupoozea na chochote baada ya huo mtanange mzito.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.