Enzi zangu mie Karucee

Yeah Ntuzu anajiondoa baada ya kuona unatumia jina lake kutangaza pambano ambalo kumbe una ajenda yako nyuma ya pazia sasa unamtumia kama muhuri tu.....!!!!!!

Hapo red hapo natumai Ntuzu pia haaamini hakuna kitu nyuma ya pazia!!!!!
Karucee huyu anaingia sasa hivi matatizoni huku anajiona

hahahaha. lols. Hamna bwana we. Tized is just a really sweet sweetheart of mine. Hamna kitu even if you pierced the veil (legal term).

Good morning peoples : Ennie, miss neddy, mwallu, Ntuzu, Mndengereko, Tized, OLESAIDIMU, Kaizer

A beautiful and bright new day that God has made!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ole Mara nyingi nikimuona Karucee peke Yake lazima nikuite uje Au humuuliza Ole hajambo? Na bila shida hujibu vema tu hajambo na ukishakuja mwenyewe basi nawaacha mpige story zenu za ndani etc! Lkn Jana nikashangaa pambano latangazwa ghafla na Karucee wako akahamia kwa Tized Na makiss kibao yakamwagwa! Mimi nikaona nijitoe tu! Aku! Mi simo! Bora umuweke kwa sale tu!
Teh teh teeeeeeeeeeh.

Umenichekesha sana.

Tusubiri sale ila I swear naweza ku predict outcome ya hiyo sale.:tape:
 
Habari ziwaendee ndugu wote wa marehemu popote pale walipo!!!!!

Cc Karucee
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teeeeeeeeeeh.

Umenichekesha sana.

Tusubiri sale ila I swear naweza ku predict outcome ya hiyo sale.:tape:

Yeah! That's good!

Umeruka Kamba Kidogo Leo? Au umeamka tu USO umejikunja km unalamba ndimu Au limao?

Teh Teh Teh

Ole lazima akuweke kwa sale! Maana asije akapandisha Mori na kuanza kuruka!
 
Niruke wapi? Hapa nlipo nafakamia pancakes na coffee. Nitafumukaje besti?
 
Hamna Mkuu. Ngoja nkunongoneze... Tunaitisha hili pambano ili kukusanya hela ya kupatia za mbili tatu za weekend. Mlangoni yupo Kamanda mwenyewe. Nadhani unamjua
Yeah Ntuzu anajiondoa baada ya kuona unatumia jina lake kutangaza pambano ambalo kumbe una ajenda yako nyuma ya pazia sasa unamtumia kama muhuri tu.....!!!!!!

Hapo red hapo natumai Ntuzu pia haaamini hakuna kitu nyuma ya pazia!!!!!
Karucee huyu anaingia sasa hivi matatizoni huku anajiona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom