Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

2011
Fedha boksi
wani, pointi 27 (ishirini na saba)
 
Kumbe hapa ndani wengi wenu ni mayanki
Sisi tuliomaliza miaka ya sabini ngoja tukae kimya , endeleeni kupongezana naona one za point kazaa ndo zinatawala sijui kina nani walikuwa wanapata DIV 3 , 4 AND 0
:A S-coffee:
 
O-level 2 ya 19 (St. Paul's Liuli-Mbinga).
A-level 2 ya 10 (HGL) pale Kwiro High School, Mahenge. Kwa sasa nipo namaliza kadigree kangu SAUT(MWANZA).
 
inawezekana ulipomaliza la saba tu (ly) ukaanza kazi ya ulinzi.......... Kwa hiyo wakati wenzio wana miaka minne ya o-level, wewe una minne ya kazini, miwili ya a-level (jumla sita) wewe una sita ya kk security guard, na mwenzio anamaliza versity kozi ya miaka minne (jumla 10) wewe una mwaka wa kumi ya kazi uako ya ulinzi na elimu yako ya ly

hahaha watu mna mambo
 
Kumbe huku wengine hapatufai utajikuta unatukanwa na mwanao.Zanaki 1991 div II ya 20.
 
rejao amekumiss sana....
Mie pia nimemmiss sana, ila nahisi hanipendi kama zamani manake ameondoka hajaniaga, nikimpigia simu anapokea sekretari wake eti nimwachie maagizo ya Rejao!....


Mwambie SL bado penda yeye sana, akipata huu ujumbe ampigie haraka iwezekanavyo!
 
Kila m2 one na wenye ubuyu mbona hawajitaji?
Mimi ndo natarajia kumaliza this year ndio mana sijajitaja, ntakachopata lazima nije kuutangazia umma wa wana jf, hata kama ni ubuyu!
 
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
 
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
Hahaha! Kweli we mkare wetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom