Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini

Mbona mnamshambulia wakati kajieleza nyie ndio hamjamuelewa.
Kasema ali re seat mtihani akaingia 5&6 ndio akapiga One.
 
Dah!Mimi nimerudia mtihani wa form 4(ya awali Mwanaasha+0.05 a.k.a j.magufuli+0.02) mpaka nikitaka kukalkuleti divisheni yangu(baada ya kudunduliza) inatakiwa nitumie scientific calculator kuvimagazijuto vyeti na nikiorodhesha examination centers tutakesha hapa.
Kidato cha sita QT ya Div 2 bado kidogo niwe expendable nikatokea mlango wa nyuma mpaka Univasiti.
 
Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini

Amesema ali 're-seat'
 
Div 1 pts 12 O'level pale Masonga secondary 2002, Div 1 pts 7 Pale Minaki mwaka 2005(PCM).
 
Div 1 ya 7 points 1974 Combination ya PCB huko Mzizima High school, Dar Es Salaam
 
cambridge sio ya siku hiz ya kipindi hicho ukipata D ilikuwa n pass, walimu wenu weng wa vyuon tulikuwa nao.
 
Hii ndo kipimo gani???

Dah!Mimi nimerudia mtihani wa form 4(ya awali Mwanaasha+0.05 a.k.a j.magufuli+0.02) mpaka nikitaka kukalkuleti divisheni yangu(baada ya kudunduliza) inatakiwa nitumie scientific calculator kuvimagazijuto vyeti na nikiorodhesha examination centers tutakesha hapa.
Kidato cha sita QT ya Div 2 bado kidogo niwe expendable nikatokea mlango wa nyuma mpaka Univasiti.
 
Hii ndo kipimo gani???

Nimetumia kipimo standard ambacho wengi humu wanadhania ni kufeli 4.27+0.05=4.30+0.02=4.32.Lakini hakuna kitu kama kufeli duniani ni kujikwaa tu,unaanguka kisha unaamka na kuendelea na mbio.
 
o level three ya point 20 penalty ya hesabu pale old moshi 2001 then two ya 10 a level 2004 ilboru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom