Enzi ulipokuwa boarding


Imenichekesha sana, kiufupi, nimesoma shule ya kata, boarding nimeenda advance tena mtata kidogo, so sina kigumu cha kusimulia,
Shule yetu haikuwa na tabu sana hata Rejao anajua
 
Last edited by a moderator:
dah ucpime, TARIME SEC kulikua na dogo mchawi toka ukerewe, siku moja mpirani c akakwatuana na mshikaji pande la mtu mkurya, huwezi amini alimtupia mwenzie radi, Mungu mkubwa mshkaji akapona!

Tarime sec kulikua na secondmaster huyo anaitwa mwl gamba duh noumer tupu
 
dah ucpime, TARIME SEC kulikua na dogo mchawi toka ukerewe, siku moja mpirani c akakwatuana na mshikaji pande la mtu mkurya, huwezi amini alimtupia mwenzie radi, Mungu mkubwa mshkaji akapona!

Tarime sec kulikua na secondmaster huyo anaitwa mwl gamba duh noumer tupu
 
basi bana tarime sec,ilikua mwisho wa kusoma ni saa 4 na taa zinazimwa,mara kadhaa walinzi wanapita bwenini kukagua kama watu wamelala,sasa mlinzi mmoja alikuaga na mbwa,na anaingia nao hadi bwenini,mabweni yetu yalikua marefu yenye cubes yaani you can walk straight mwanzo mwisho,sasa siku moja mlinzi kaingia na mbwa wake yeye katatngulia mbele mbwa wako nyuma, jamaa moja la kikurya likaamka kwa kunyatia na mpini,likapiga mbwa mpini mmoja tu mbwa akalia mara1 tu na ku rip hapo hapo,yaan tulicheka ile mby, ingawa wanafunzi walikua wamefunga wamelala ila kipigo cha mbwa watu wote hawana mbavu
 
Mpande Namkubali sana!! Mwingine ni Mboya a.k.a Commando. Je wewe ulikuwa enzi zipi? Malale,Kimario,Malissa au Kisuu?Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Enzi za Malissa, sitasahau siku tumefanya uchaguzi afu Mpande akatukanwa kwenye vikaratasi vya kura.
 
ili kuwa mwaka gani ?
Nafikiri ilikuwa 2001 au 2002, mpande kasimama kwenye ukuta wa mesi ya Karume muda wa rolcall akaanza kuyasoma. Mpande unat...wa, Mpande unaf..., Mpande una.... . Wazenji wanamuomba asiendelee kusema ye anakazana tu niacheeni niseme. Dah enzi zile nourma sana
 

Duh noma kweli Isee!!
Mie nilichukua Gamba 2001 sikuiona hiyo kadhia nadhani itakuwa ni 2002 ya kina Uniform Gear na Amir Maftah.
pamoja na Mikwara yake Mpande namkubali mia mia maana alikuwa akitukinga kwa baadhi ya soo zisipande juu.
 
Yah ukweli mpande alisaidia kupunguza suspension nyingi kwa kumaliza case mwenyewe na ofisi ya vijana. Ila muda mwingine alikuwa msumbufu sana.
 
Mi bodingi nilikua napiga sana puli nikienda kuchunga ng'ombe polini
😡😡😡😡😡
 

Dah nimefurahi sana kuona nawe mkuu Mentor ni alumn wa Old Moshi...Old is Gold, Mawenzi, Hanang, Meru, Shengena and Kibo Forever!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nimesoma Umbwe pia
 

Bila shaka umesoma umbwe
 

Ulikuwa unaishi flamingo simba au twiga
 

Dah! Cream ya maharage ilikua tamu sana, nakumbuka nilishawahi kumwagia maji ya moto mpishi aliponibamba nimezamia jikoni kupitia dirishani na vibakuli vyangu viwili kwa ajili ya cream ya kwenda kuuza.
 
Hahaha hii thread imenichekesha mnoo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…