Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

ha ha ha six pack iendane na mshiko;Pack bila mshiko ni ugonjwa...binti mzuri na mrembo anatakiwa atatuliwe changamoto alizo nazo,mfano kama hana gari anunuliwe gari,hana nyumba anunuliwe/ajengewe nyumba n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mnavyowahangaisha wanawake kuongeza makalio na matiti wakidhani mnapenda na ninyi hangaikeni hivyo hivyo kuongeza sehemu za siri na vifua mkidhani wanapenda yaani ni mwendo wa kuhangaishana hadi kieleweke si mnataka kuishi ili kufurahisha kila mtu endeleeni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ha ha ha ha ngoja nikasome maandiko
 
Sasa six pack ya nini sisi????..... Endeleeni kwenda kutafuta hayo ma six pack
 
Haya Mambo yanaenda na nyakati. In late teens ie. 18,19 heading Early 20's six packs matters alot[emoji23][emoji23][emoji23]

As we grow, we come into realization that six packs won't bring food on the table, neither paying rent nor fees for the kids.

Akili kumkichwa, six packs ama kakitambi.

Alafu mostly those men wako na six packs wanaonaga they are already in heaven [emoji23][emoji23][emoji23]made it all out of life shwain.
 
Vijana wana changamoto sana hasa nyakati hizi za 21st century.

Napita..!
 
Back
Top Bottom