Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

Katika Agano la Kale la Biblia, makanisa kama tunavyoyaelewa leo hayakuwepo kama taasisi ya kidini. Makanisa, kama vile yanavyoonekana katika muktadha wa Kikristo, yalianza baada ya Yesu Kristo, hasa katika Agano Jipya.

Hata hivyo, katika Agano la Kale, kulikuwa na manabii walioitwa na Mungu kutoa ujumbe wake kwa watu wa Israeli. Hawa manabii hawakuanzisha makanisa, bali walikuwa wanahubiri na kutangaza ujumbe wa Mungu kwa jamii ya watu wa Israeli. Walitumwa kurekebisha, kuonya, na kuelekeza watu kwa njia ya haki...

Kwa maandiko haya, hao manabii wa sasa ni matapeli...
Swala la hao ni matapeli Hilo ni lakwako Mimi nmekupa elimu juu ya nabii ni Nan na anatakiwa kuwaje? Lakini pia uwezo wakujua nabii Gani ni mkweli na nani tapeli linategemea wewe binafsi na mahusiano yako na Mungu full stop.

Lakini pia soma Biblia usiandike tu utakuwa huelew hata unachokiandika.
Aliyekwambia katika agano la kale hakukuwa na makanisa nani ? Au Biblia ipi hiyo unayitumia wewe

unafahamu kama hekalu ndio kanisa Kwa kiswahili Cha kisasa?

Na unafahamu kama kuhani ndio Mchungaji ?

Agano lakale linatambua uwepo wa kuhani na uwepo wa nabii na majukumu yao ni tofaut kasome Biblia Tena usitake kubishana Hali yakuwa huna contents za kutosha

Na nimalize Kwa kukwambia tu huo mfumo wa Ibada unaouona watu wanaingia kanisan wanaimba halaf Mchungaji anasimama na kusoma neno ndio huohuo hata kweny agano la kale ulikuwepo ,

Walawi walifanya mambo yote hukusu kumsifu Mungu Kwa kumwimbia na makuhani walifanya majukumu yao kma wafanyavyo wachungaji na manabii walikuwa na majukumu yao kama waonaji wa habari za Sirini.

Mfano mdgo kwenye agano la kale Kuna mtu alikuwa anaitwa Eli huyu ni kuhani lakini Kuna mtu alikuwa anaitwa Samwel huyu ni nabii na, na huyo Samwel alilelewa katika Mikono ya Eli ambaye ni kuhani Kwa lugha nyingn alikuw chini ya uchungaji.

Usiwe mvivu wa kusoma kasome kitabu japo Cha Samweli tu utaona Vingi kuhus hizi habar tunazojadiri. Na utajua hata sadaka pia zilikuwa zinakwenda Kwa nabii au kuhani hahahahahah

unapoambiwa hakuna jipya chini ya jua uwe unaelewa maana yake ni nini.

Umeleta Uzi halafu hujui hata ulichokiandika kinatoka wap kabla ya kuandika Uzi humu muwe mnapitia notes kwanza vzr JF sio FB ndio maana unaona Kuna had majukwaa mbalimbali
 
Manabii wa uongo wapo na wa kweli wapo...

Kazi ipo kwako wewe ambaye unaongozwa na mwili na kukariri neno bila kulifanyia kazi...

Wanaoongozwa na Roho Mtakatifu wanajua Nabii wa kweli na wa uongo...
Hakuna nabii yoyote wala mtume yeyote wakizazi hiki wakweli wote wachumia tumbo tu au kujipa vyeo vya kuaminika ila ki uhalisia hakuna.
 
Swala la hao ni matapeli Hilo ni lakwako Mimi nmekupa elimu juu ya nabii ni Nan na anatakiwa kuwaje? Lakini pia uwezo wakujua nabii Gani ni mkweli na nani tapeli linategemea wewe binafsi na mahusiano yako na Mungu full stop.

Lakini pia soma Biblia usiandike tu utakuwa huelew hata unachokiandika.
Aliyekwambia katika agano la kale hakukuwa na makanisa nani ? Au Biblia ipi hiyo unayitumia wewe

unafahamu kama hekalu ndio kanisa Kwa kiswahili Cha kisasa?

Na unafahamu kama kuhani ndio Mchungaji ?

Agano lakale linatambua uwepo wa kuhani na uwepo wa nabii na majukumu yao ni tofaut kasome Biblia Tena usitake kubishana Hali yakuwa huna contents za kutosha

Na nimalize Kwa kukwambia tu huo mfumo wa Ibada unaouona watu wanaingia kanisan wanaimba halaf Mchungaji anasimama na kusoma neno ndio huohuo hata kweny agano la kale ulikuwepo ,

Walawi walifanya mambo yote hukusu kumsifu Mungu Kwa kumwimbia na makuhani walifanya majukumu yao kma wafanyavyo wachungaji na manabii walikuwa na majukumu yao kama waonaji wa habari za Sirini.

Mfano mdgo kwenye agano la kale Kuna mtu alikuwa anaitwa Eli huyu ni kuhani lakini Kuna mtu alikuwa anaitwa Samwel huyu ni nabii na, na huyo Samwel alilelewa katika Mikono ya Eli ambaye ni kuhani Kwa lugha nyingn alikuw chini ya uchungaji.

Usiwe mvivu wa kusoma kasome kitabu japo Cha Samweli tu utaona Vingi kuhus hizi habar tunazojadiri. Na utajua hata sadaka pia zilikuwa zinakwenda Kwa nabii au kuhani hahahahahah

unapoambiwa hakuna jipya chini ya jua uwe unaelewa maana yake ni nini.

Umeleta Uzi halafu hujui hata ulichokiandika kinatoka wap kabla ya kuandika Uzi humu muwe mnapitia notes kwanza vzr JF sio FB ndio maana unaona Kuna had majukwaa mbalimbali
1• Hapana, "hekalu" mara nyingi hurejelea mahali pa ibada katika dini ya Kiyahudi au dini nyinginezo, wakati "kanisa" linaweza kutumika kumaanisha mahali pa ibada katika Ukristo.

2• hakuna jipya chini ya jua" inapatikana katika Kitabu cha Mhubiri (Ecclesiastes) 1:9. Katika Biblia, Mhubiri anachunguza maana ya maisha na kutoa mafundisho kuhusu dunia na uzoefu wa binadamu.

3• "katika Agano la Kale. Neno "kanisa" kwa kawaida linahusishwa zaidi na Ukristo na linaonyesha jumuiya au taasisi ya waumini. Katika Agano la Kale, maneno kama vile "hekalu" au "sinagogi" yalitumika kuelezea mahali pa ibada au mikutano ya ibada, lakini si sawa na "kanisa" kama inavyoeleweka katika muktadha wa Kikristo. Makanisa ya Kikristo yalianza baada ya Yesu Kristo, wakati wa Agano Jipya.

4• Mkuu usitoe hoja kwa hasira, leta mawazo bila kuhushisha uelewa wangu, mtu yeyote yule anaye uliza swali siku zote huwa anataka kupata jibu.
 
Kanisani kwao kila mtu Ana ndoo na kitambaa.
Ratiba zao za ibada muda wa kutoka ni ukakasi.
Nenda temboni katikati ya week utakuta saa 7-9 usiku mnene watu ndiyo wanatoka kanisani.
Kama wanga vile na mandoo yao
Ni mambo ya kufikirisha sana, lakini binadamu ndo kwanza wanazidi kuhudhuria ibada...
 
WAJINGA WALIWAO HAHAAAA
KUNA MMOJA YUKO KWA MPALANGEE HAHHAAA ANAFUFUAA WATU KWENYE SIMU USIKUWA MANANE TU MCHANA HUMSIKIII NKAJIULIZA KWANINI ASIENDE MONCHWARI HAWA WAJINGA WANAZIDI KUWA WAPUMBAVU
 
WAJINGA WALIWAO HAHAAAA
KUNA MMOJA YUKO KWA MPALANGEE HAHHAAA ANAFUFUAA WATU KWENYE SIMU USIKUWA MANANE TU MCHANA HUMSIKIII NKAJIULIZA KWANINI ASIENDE MONCHWARI HAWA WAJINGA WANAZIDI KUWA WAPUMBAVU
😀😀, Kwa hiyo maiti/watu anawapata, huyo mr Morgue??
 
yaan juziii nilicheka
past anamwambia mtu wekamaji na kioo kwenye beseni unamwona nani..

bababababaaa namwonaa mama uwiiii mamamaananiloga.....Huyoondiookakulogaaaa....

So nimuuue mamayakoo baba(past) muuetu

Nususaaa unasikia simu kapokeaa bababaa uwiiii bababa mama amefariki...si ♥️
ulisema afeee bababa naombaaa mrudishe kama unaweza ...yaaniiii usaniiii kilasehemu inapigwa maombi anaambiwa piga simu tena kwa.mamama nishamfufuaaa kwikwikwi
Kupata vitukokamahivi andika Gamondi kwenda 15577
 
Back
Top Bottom