Je, ni kweli kwamba hakuna tena Mitume na Manabii?

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
318
662
Baadhi ya wakristo na hata waislamu wanaamini kwamba hakuna tena manabii kwa sasa. Waislamu wanaamini baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) hakuna mtume aliyetokea na hakuna atakayetokea mpaka kiama. Sitaki kugusia sana upande huo maana sifahamu maandiko ya Quran yanasemaje.

Kwa upande wa wakristo, utume na unabii ni karama na karama hizi hazikuishia kwenye Biblia. Ili Mungu atende kazi zake ni lazima awafunulie watu wake wenye karama hiyo kwa faida ya wengine (AMOSI 3:7)

Hivyo mitume wapo na manabii pia wapo na wataendelea kuwepo mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Hata hivyo uwepo wao umekua kichaka cha matapeli. Hilo halibatilishi ukweli kwamba Manabii wa ukweli wapo na unabii unatendeka.

NB: Wale wasioamini katika maandiko matakatifu na uwepo wa Mungu msipoteze muda hapa ili muonekane mnajua sana au ni wajanja kuliko wanaoamini. “Busara” zenu zitunzeni kwaajili ya vizazi vyenu.
 
Huyo mwingine uliyemwekea SAW naye alijitangaza tuu kama akina mwamposa hajawahi kutabiriwa Wala kutajwa na kitabu chochote kabla yake
 
Baadhi ya wakristo na hata waislamu wanaamini kwamba hakuna tena manabii kwa sasa. Waislamu wanaamini baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) hakuna mtume aliyetokea na hakuna atakayetokea mpaka kiama. Sitaki kugusia sana upande huo maana sifahamu maandiko ya Quran yanasemaje.

Kwa upande wa wakristo, utume na unabii ni karama na karama hizi hazikuishia kwenye Biblia. Ili Mungu atende kazi zake ni lazima awafunulie watu wake wenye karama hiyo kwa faida ya wengine (AMOSI 3:7)

Hivyo mitume wapo na manabii pia wapo na wataendelea kuwepo mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Hata hivyo uwepo wao umekua kichaka cha matapeli. Hilo halibatilishi ukweli kwamba Manabii wa ukweli wapo na unabii unatendeka.

NB: Wale wasioamini katika maandiko matakatifu na uwepo wa Mungu msipoteze muda hapa ili muonekane mnajua sana au ni wajanja kuliko wanaoamini. “Busara” zenu zitunzeni kwaajili ya vizazi vyenu.
Bulldoza
 
Back
Top Bottom