Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
ni HKL huyoMkuu Huelewi eNGINEERING hata kidogo
ni HKL huyoMkuu Huelewi eNGINEERING hata kidogo
Hakuna engineer kuna engineers. Una lingine?Bongo kuna engineer???
Mkuu Huelewi eNGINEERING hata kidogo
Probably you Know Nothing About Engineering..
Swala sio hakuna wa kudesign mkuu mbona tuna wakandarasi wa barabara lakini tender wanapewa wa china unataka kusema wanapewa sababu hakuna anaeweza kufanya kazi za barabara bongo..
Mkuu who is an Engineer
picha yangu niliyoweka wakati nafungua uzi huu inatosha kujibu hili swaliMkuu hiyo cantiliver umeangalia ni ya material gan maana bongo asilimia kubwa ya structure ni concrete....kwa upande wa steel ndo pekee inaweza kuaccomodate span kubwa kwny cantiliver....
Achana nae huyo, usimpe elimu hiyo, mwambie aende darasani nae akasome !Nashindwa Kujibu Comment Moja Moja..
Kwanza Mtoa Mada wewe ni Technician, Mambo ya Design Huyajui hata Kidogo..
Civil Engineer let say structural Engineer anadeal na Design za Structure.. icase ikatokea Architecture akadesign Mjengo na Civil Engineer akifanya Calculations za Load yaani toka Kwenye Roof adi kwenye Footing (Design) akaona kwamba design ya arch haiwezi himili Jengo lazma yeye afanye recomendatitions zake..Structural Engineeer kazi yake sio Kushika Plizer na Kufix steel au Ku Operate Concrete Mixer.. Yeye kazi yake ni kuhakikisha kila kitu kinafanyika kutoka na Design inavysema (Mchoro).. Mfano Kwenye Footing yaani Foundation ya Nguzo..Engineer akidesgn watumie labda Zege Grade 30 anatakiwa ahakikishe hio Grade ndio iliyotumika.. kama kwenye column Nondo inatakiwa kuwa mm20, maybe spacing kwenye Links ni mm200 yeye anatakiwa ahakikishe imefuatwa hivyo..
Sasa Nyinyi Ma Technician Mna tatizo Moja yaani Hamjui Totaly what is the Physics Beyond Engineers Recomendations..Kuna Wakati Mnasaidia kweli mfan kama Engineer sio Mzoefu na Technician ni Mzoefu kwa Miaka Mingi, anaeza mshauri Engineer kuwa kwenye ujenzi fulani case kama hii tulifanya hivi na hivi.. Japo Hajui Physics Behind..
Kuhusu Engineer Kukaa ofisini Umechemka.. Kwanza Ujue Kuna site engineer (Hukaa site) na design engineer (Hukaa Ofisini) (Mara nyingi ni Consultant)..
Unapoleta shutuma kama hizi unajitathmini kwanza
hahaa ", unamaanisha kwamba ikihamia chama tawala" Akili zinatoweka ghafla",au sijakuelewa """!!?Unajua unachosema? Yaani engineers wafanye kazi za -engineer, u-technician (FTC), ufundi mchundo, (VETA)?
Umehamia chama tawala nini? Achana na siasa nenda kasome.
Mkubwa, walio serious na fani zao, ni lazima usome B.Eng/BSc CIVIL ENGINEERING kwanza kisha upige paa la architect.What is Civil Engineering? Huenda tuanzie hapo
Hivi kijumba single level kinahitaji Engineer kweli au architect? Watu wengi wanawachanganya Engineer na Architect
Unamfahamu Eng Patrick mfugale? Kwa taarifa yako tuu madaraja mengi unayoyaona yamedesigniwa na yeye, ukiwa unaenda kwenu kijijini uwe unachungulia dirishani kidogo mkuu...Bongo kuna engineer???
Bongo hakuna engineer bhana, acha keleleUnamfahamu Eng Patrick mfugale? Kwa taarifa yako tuu madaraja mengi unayoyaona yamedesigniwa na yeye, ukiwa unaenda kwenu kijijini uwe unachungulia dirishani kidogo mkuu...
Hii kasumba ya kudharau taaluma za watu mmeitoa wapi?
Yaan inafikia hatua Civil Eng. Unamfananisha na Veta? Huu ni unyamwazi
Kosa lipo mzee.Sasa kama kazi yako ni kudesign si inabidi ukae ofisini huko udesign, kosa nini hapo
Soil testing anfanya nani ? Je uoni haja ya kuwepo eng site kutafuta sample marudhawa na wapi pa kupata sample nzuri ya udongo ? Jwa ufupi design engineer site lazima aende.Sasa Civil Engineer hapo anahusikaje?
Alikutenda nini?
MZEEE IVI UJUI KWAMBA IVO VINYUMBA VIDOGO AVIITAJI STRUCTURAL ENGINEER JUST FUNDI AU ACHTECTURALHapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Bro uko sahihi huwezi kuwa engineer bora na mzuri kama hakai site,zaidi wewe utakuwa unafanya biashara ya engineering na hawa wako wengi.Nimetoa rai kwao, wengi wa engineers wetu ni watu wa literature, hawataki kukaa site kujua vitu practical