Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
- Thread starter
- #21
Bongo hakuna steel structure? Hivi vitu unatoa wapi mkuu? Ile mkuki malls ni steel structure, nayo imetoka Kenya siyo?
Elewa nilichosema kabla hujaandika
Bongo hakuna steel structure? Hivi vitu unatoa wapi mkuu? Ile mkuki malls ni steel structure, nayo imetoka Kenya siyo?
What is Civil Engineering? Huenda tuanzie hapo
Hivi kijumba single level kinahitaji Engineer kweli au architect? Watu wengi wanawachanganya Engineer na Architect
Sijawahi kuziona, kwa hiyo ni kosa kwa civil Engineer? Kuona cantilever kama zile ni requirements za client
Kama bongo zingehitajika ungeziona
Unaona Sasa....Tatizo wengine wamekariri kama form one...what is this...Define this...What is Civil Engineering? Huenda tuanzie hapo
Hivi kijumba single level kinahitaji Engineer kweli au architect? Watu wengi wanawachanganya Engineer na Architect
Unajuaje kama hakureview?Hahaha, Bongo cantiliver Eng nani anaweza fanya hizo?? utazunguka sana, wanaoongoza kuharibu michoro ya wasanifu ni engineers kwa kwetu
Nakupa mfano tu Muulize Arch Mkonyi alichora Treasury ile ya Dodoma kwenye entrance tu alierka cantiliver isiyozid hata 5M nenda kaangalie ile entrance walivojaza manguzo yasiyo na misingi.
Unajuaje kama hakureview?
Project managers wa buildings mara nyingi ni architects
Ina maana wajenzi waliweka hayo manguzo kutokana na mchoro gani kama sio wa architect?
Unaona Sasa....Tatizo wengine wamekariri kama form one...what is this...Define this...
Tena Wameenda mbali Kuona Civil Engineer kama ulivyosema eti kijumba Kwa hiyo Civil Yeye adili na Madaraja,Maghorofaaaa,Mahekaluuu,Ma Malls, hahaha huyo ndo Civil engineer kwa Mtazamo wako,na Haitajiki Kujihusicha na Nyumba za Makazi say Nyumba 150 za Nssf,Nyumba 500 Za NHC,wewe hao Sio civil,Haya Mkuu....ila Tahadhari...usidharau kazi, Ufanisi unaanzia Kwenye Kazi ndogo kwenda Kubwa jinsi ilivyo Design tuu unajua hapa Kuna mkono wa Ndalama hata kama ni kitu,Nyumba ndogo.
Ina maana architect siyo sehemu ya civil engineering?
Tetemeko likipita ndio utajua maana ya hiyo minguzo.Hahaha, Bongo cantiliver Eng nani anaweza fanya hizo?? utazunguka sana, wanaoongoza kuharibu michoro ya wasanifu ni engineers kwa kwetu
Nakupa mfano tu Muulize Arch Mkonyi alichora Treasury ile ya Dodoma kwenye entrance tu alierka cantiliver isiyozid hata 5M nenda kaangalie ile entrance walivojaza manguzo yasiyo na misingi.
Wanahusiana, Civil Engineering ni pana sana, shida kuna mtu yuko obsessed na Civil Engineer mmoja sijui alimfanyia niniIna maana architect siyo sehemu ya civil engineering?
You meant theory?Bongo Civil Engineer wapo wachache sana, ila wengi ni literature tu
Is an art sio sienceIna maana architect siyo sehemu ya civil engineering?
You got me wrong mkuu, nyumba zimeanza kujengwa miaka mingi kabla hawa wanaoitwa civil Engineers hawajawapo, unafikiri zile Pyramids za Misri zilijengwa na Engineers?Unaona Sasa....Tatizo wengine wamekariri kama form one...what is this...Define this...
Tena Wameenda mbali Kuona Civil Engineer kama ulivyosema eti kijumba Kwa hiyo Civil Yeye adili na Madaraja,Maghorofaaaa,Mahekaluuu,Ma Malls, hahaha huyo ndo Civil engineer kwa Mtazamo wako,na Haitajiki Kujihusicha na Nyumba za Makazi say Nyumba 150 za Nssf,Nyumba 500 Za NHC,wewe hao Sio civil,Haya Mkuu....ila Tahadhari...usidharau kazi, Ufanisi unaanzia Kwenye Kazi ndogo kwenda Kubwa jinsi ilivyo Design tuu unajua hapa Kuna mkono wa Ndalama hata kama ni kitu,Nyumba ndogo.
Wewe fundi mchundo, engineer anakuwa site kukagua kazi aliyodesign. Huwezi Fanya design porini huko huwa wanaenda kwa feasibility study. Engineer anatakiwa atumie akili siyo nguvu kama kibarua au wewe.Nimetoa rai kwao, wengi wa engineers wetu ni watu wa literature, hawataki kukaa site kujua vitu practical
Tetemeko likipita ndio utajua maana ya hiyo minguzo.
Endeleeni kutiririsha hoja ila msijifungie kifikra.
Wewe fundi mchundo, engineer anakuwa site kukagua kazi aliyodesign. Huwezi Fanya design porini huko huwa wanaenda kwa feasibility study. Engineer anatakiwa atumie akili siyo nguvu kama kibarua au wewe.
Civil Engineer hutakiwa kukaa ofisini ukapulizwa AC ukalipwa mshahara mzuri ukaona umemaliza ndugu yangu ipo siku hata fundi aliesoma VETA uwashi atakuaibisha.
Kuna tatizo mahali kwenye kadi hii hapa Tanzania, wengi wa maengineer wetu ni watu wa ofisini sana wakisema wanadesign ili hali ni vichekeaho tu,
Hawa maemgineer ambao ni wengi sana kwenye nchi yetu hii huwa wabishi sana, wao wanachojua ni literature tu ukimweleza kitu atarudi kusoma notes, unaweza ukamwambia Eng hapa kutokana na sababu hii hatuhitaji chuma zote hizooo, yeye atakacho fanya leta calculation sheet unajiuliza maswali mpk unakosa majibu,