Shhhhhh!😎Jiwe?
Sasa ordinary residential za kawaida zinahitaji engr wa civil aje kufanya nn.Kwa uzoefu wangu watu wengi wameingizwa chaka na mafundi in terms of ubora na costs.Kama tu mnavyodanganywa na mafundi unakuta mtu ameweka kingpost kubwa sana eti ni shoo mwisho wa siku unakuta nyumba haipendezi machoni kama mfano huu hapa chiniHapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Nilikuwa sijaelewa, kumbe issue sio Civil engineers wote, ila issue ni Civil engineers wanaokaa ofisini.Nimeandika haya nikiwa kwenye kada 1 ya construction na nimekutana na engineers wengi sana , nakiri kuna arh/qs wako njema sana kuliko eng kwa sababu wanakaa site sana
kama unataka kua eng wa theory endelea kukaa ofisin bila kupractise ukitegema kuweka provision kila sehemu
Site utahitaji details tu za material kama aina ya udongo, au hali ya eneo husika kama lina nature ya matetemeko, au upepo mkali, Ukishapata hivyo huhitaji kukaa huko kwa ajili ya kudesign.ndio maana wengi wanaover design kwa kua hawajakaa site na hawajui wanadesgn kwa theory
Unajaribu Ku overlook role ya Technician ukiacha ishu ya kumshauri Engr,sio kwamba technician hajui physics behind anajua but not in detail kwa vile Technician ana general knowledge kwenye modules zote za discipline husika na hayuko specific kama Engr/architect etc na technician ni practical oriented zaidi.Since structures nyingi ni marudio waajiri hasa sector binafsi wanaprefer Technicians na watu wa Beta kuliko engrs unless stated otherwise. So ww Engr ukimaliza design sepa achia Technician na mafundi wapige pesa siteNashindwa Kujibu Comment Moja Moja..
Kwanza Mtoa Mada wewe ni Technician, Mambo ya Design Huyajui hata Kidogo..
Civil Engineer let say structural Engineer anadeal na Design za Structure.. icase ikatokea Architecture akadesign Mjengo na Civil Engineer akifanya Calculations za Load yaani toka Kwenye Roof adi kwenye Footing (Design) akaona kwamba design ya arch haiwezi himili Jengo lazma yeye afanye recomendatitions zake..Structural Engineeer kazi yake sio Kushika Plizer na Kufix steel au Ku Operate Concrete Mixer.. Yeye kazi yake ni kuhakikisha kila kitu kinafanyika kutoka na Design inavysema (Mchoro).. Mfano Kwenye Footing yaani Foundation ya Nguzo..Engineer akidesgn watumie labda Zege Grade 30 anatakiwa ahakikishe hio Grade ndio iliyotumika.. kama kwenye column Nondo inatakiwa kuwa mm20, maybe spacing kwenye Links ni mm200 yeye anatakiwa ahakikishe imefuatwa hivyo..
Sasa Nyinyi Ma Technician Mna tatizo Moja yaani Hamjui Totaly what is the Physics Beyond Engineers Recomendations..Kuna Wakati Mnasaidia kweli mfan kama Engineer sio Mzoefu na Technician ni Mzoefu kwa Miaka Mingi, anaeza mshauri Engineer kuwa kwenye ujenzi fulani case kama hii tulifanya hivi na hivi.. Japo Hajui Physics Behind..
Kuhusu Engineer Kukaa ofisini Umechemka.. Kwanza Ujue Kuna site engineer (Hukaa site) na design engineer (Hukaa Ofisini) (Mara nyingi ni Consultant)..
Unapoleta shutuma kama hizi unajitathmini kwanza
Mkuu Mimi nililetewa architectural drawings za jengo moja huko Kigoma nikaambiwa nidesign structural members wakati sikuwa nimefika huko Kigoma kwenyewe.Kama wewe ni civil eng lakini kama mchangiaji kama mimi unaweza usilijibu swali hili,kama ni muhusika wa fani husika nijibu swali hili chini :
Kaka nataka nikupe mfano au unipe hatua za kufanya designing (Usanifu) za usanifu wa foundation ya Lattice Sturcture Tower ya miguu minne ya material ya steel iron.
Nataka unionyeshe katika hatua hizo ni vipi uhitajiki kwenda site. Sio tunaongea tu.
Sasa kama hujui nini maana ya "engineer" kwanini unawaponda wakati hata huwajui achilia mbali majukumu yao!!Sijui, labda ukiniambia utakua umenisaidia, na sijaleta hii mada kujua who is an eng.
Mkuu dokta akikuambia meza panado na akakupa sababu za kitaalam kwann umeze alafu akaja mtu mtaani akakwambia lamba udongo utapona, wewe utamfwata nani?Nimekutana na engs ameweka depth ya footing 2.5m, lakini excution kwenye real world ilihitaji 1.7m, alikataa, unaona storng rocks yenye uwezo wa kubeba jengo bado unataka kifanyike ulichosema kwanini snisikuite mzee wa litrature
Huyu jamaa nahisi kuna injinia hapo mtaani kwao kampigia mchepuko wake!! maana anaandika ujinga ilhali hata maana ya "engineer/engineering" haijui.Site utahitaji details tu za material kama aina ya udongo, au hali ya eneo husika kama lina nature ya matetemeko, au upepo mkali, Ukishapata hivyo huhitaji kukaa huko kwa ajili ya kudesign.
Designing zote hufanyika ofisini, site ni implementation tu.
Huyu jamaa nahisi kuna injinia hapo mtaani kwao kampigia mchepuko wake!! maana anaandika ujinga ilhali hata maana ya "engineer/engineering" haijui.
Ningekua sijui ningeandika kama haya uliyo yaandika hapa!!Okee siijui, nadhani hata wewe huijui pia,
Mkuu Engineer Hawezi Kusepa Kuna Cases zinatokea Technicians Hawawezi, Kuna Case ilitokea Juzi Hapo Msasani Nilikuwa nasimamia Jengo Ghorofa MoJA tu, Maji yakawa yanatoka kwenye Footings za Column.. Technicians wako hao walimbwela.. wanashindwa hata Kuamua nia aina gani ya zege inafaa kumwagwa sehemu kama hiyo.. Engineer ni Muhimu saana..Unajaribu Ku overlook role ya Technician ukiacha ishu ya kumshauri Engr,sio kwamba technician hajui physics behind anajua but not in detail kwa vile Technician ana general knowledge kwenye modules zote za discipline husika na hayuko specific kama Engr/architect etc na technician ni practical oriented zaidi.Since structures nyingi ni marudio waajiri hasa sector binafsi wanaprefer Technicians na watu wa Beta kuliko engrs unless stated otherwise. So ww Engr ukimaliza design sepa achia Technician na mafundi wapige pesa site
Nikiwaambia Hamuelewi Physics Behind.. Kuna Kitu Kinaitwa Factor of Safety.. Eng labda alifikiri hivyo..Tungekuelewa bwana ungesema sehemu iahitaji 2.5 yeye akangangania 1.7 kwa maana tungeona ingeleta Hatari.. Rudi Ufanye Shule..Nimekutana na engs ameweka depth ya footing 2.5m, lakini excution kwenye real world ilihitaji 1.7m, alikataa, unaona storng rocks
Kweli Nashindwa Kumshauri.. Now A days Technician wako very overatedAchana nae huyo, usimpe elimu hiyo, mwambie aende darasani nae akasome !
im Civil Engineer By Profession.. Not an Architect..Wewe unaejua ndio useme nadhani, kama ni Architect by proffesional HAKIKA utakua mchanga sana kwenye hili gemu, na kma huyo niliemtaja HUMKUBALI basi sina cha kukusaidia
kifupi unaweza kuingia pale ofisini kwake ukamuuliza
Hivi vitu Havihitaji Kiswahili Kingi Mkuu, Viko Mathematicaly Oriented..Sijui, labda ukiniambia utakua umenisaidia, na sijaleta hii mada kujua who is an eng.
mada yangu nimeleta nikimaanisha udhaifu walionao civil eng katika kutoa maamuz yao, wengi wao ni watu wa ofisini, site na changamoto za site hawazijui ko utoaji maamuzi katika kazi flani inayohitaji real experience/real practical wao wanatumia literature kutoa maamuzi yao, huku wakiogopa wasipofanya hivyo mzigo utawarudia,
nikatoa mfano, Cantiliver ya 5m eng anaprovide ma nondoo mengiii.
Maarchitects ni wahanga wakubwa, ndio maana napata UKAKASI na wewe juu ya hili, kama bado unasoma huwezi kunielewa/una muda mfupi kwenye hilo gemu, au kama unachukulia complex sftructur ndizo zile ulizodesign mwaka wa 4/5 ukaona uko njema badooo sana
Hakua experienced technician huyo may be alisita kuruhusu coz of cost implication ndo ikabidi awasubilie wahusika mtoe go aheadMkuu Engineer Hawezi Kusepa Kuna Cases zinatokea Technicians Hawawezi, Kuna Case ilitokea Juzi Hapo Msasani Nilikuwa nasimamia Jengo Ghorofa MoJA tu, Maji yakawa yanatoka kwenye Footings za Column.. Technicians wako hao walimbwela.. wanashindwa hata Kuamua nia aina gani ya zege inafaa kumwagwa sehemu kama hiyo.. Engineer ni Muhimu saana..