Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Sio kweli ndugu yangu, Tanzania bado sana hawa watu wanahitaji kufanya practical

nakupa mfno: pale St joseph kuna steel structural ila bongo hii hakuna alieweza kudesign walitoa structural Kenya
Desigining inahitaji practical gani ya site?
 
Majority wana lack exposure, na hawataki kutoka nje ya comfort zone, akipata mchoro anataka nguzo within 6m , beam slab 450, ukimchallenge kidogo umevuruga kila kitu
 
Hapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Kwamba yanga wanajua kuliko barcelona
 
Leo nimeona niandike jambo flan juu ya hawa watu maana wanatumia mamlaka yao vibaya sana.

Sifa kuu ya Civil Engineers sio Cheti chenye Ufaulu mkali ukijisifia umetoka na GPA kali sana chuo kikuu, sifa kuu ni uwezo wa kutatua matatizo na changamoto mbalimbali katika practical works maana hapa ndio tunakujudge hicho kichwa chako.

Civil Engineer hutakiwa kukaa ofisini ukapulizwa AC ukalipwa mshahara mzuri ukaona umemaliza ndugu yangu ipo siku hata fundi aliesoma VETA uwashi atakuaibisha.

Kuna tatizo mahali kwenye kadi hii hapa Tanzania, wengi wa maengineer wetu ni watu wa ofisini sana wakisema wanadesign ili hali ni vichekeaho tu,

Hawa maemgineer ambao ni wengi sana kwenye nchi yetu hii huwa wabishi sana, wao wanachojua ni literature tu ukimweleza kitu atarudi kusoma notes, unaweza ukamwambia Eng hapa kutokana na sababu hii hatuhitaji chuma zote hizooo, yeye atakacho fanya leta calculation sheet unajiuliza maswali mpk unakosa majibu,

Jibu unalipata, huyu ni Engineer wa Ofisini.

View attachment 829844
Inaelekea umekutana na ma Engineer wa saizi yako.
Tembelea miradi na uone watu wanaojituma kikazi.
Tembelea Ubungo Interchange,Kimara~Morogoro Rd Widening,Tazara Flyover na hata miradi ya Barabara Kijichi ajiridhishe kuwa miradi hiyo haitekelezwi na wadau wako wa B.com au LL.B

Nyie mnaokaa na mainjinia ofisini mnawajua tu Design Engineers (mnaokula nao viyoyozi) na kwa sababu ya uelewa finyu mnafikiri hao ni wa site full time.
Kwa ulicho andika nahisi mtoa mada ni penguin per se, ambaye hajui the wide and different roles za Civil Engineer.
 
Sio hao tu sector karibia zote hakuna kitu ndio mana kampuni kubwa mafundi mchundo ndio mabosi
 
Nafikiri hao maengineer wanakuwa trained kuwa ma think tanks (critical thinkers), wewe technician unapoona hatua 10 yeye anaangalia hatua 100 zaidi. Wanakuwa na uelewa mpana zaidi wa mambo na options tofauti tofauti za kutoa miongozo ya utekelezaji. Ni sawa na kutaka daktari ashinde wodini kutoa matibabu, hajawa trained kwa ajili ya hilo. Yeye ata prescribe matibabu kwa case ambayo imekuwa referred kwake, lakini hutamwona anazunguka na sindano au dawa kuwapa wagonjwa.
 
Mkuu kwanza lazima nikiri umeandika huu uzi kwa kuwa wewe sio engineer, na kama sio engineer basi omba uelekezwe badala ya kutoa point zako za ki-nguin hapa zisizo na mshiko.

Pili, huwezi kumlinganisha engineer na mtu wa VETA. Engineer kasomea u-engineer na mtu wa VETA kazi za mchundo. Mtu wa VETA atajua kusuka nondo za column kuliko engineer ambae atamwambia asuke nondo za column. Mtu wa VETA atajua kufanya welding zaidi ya engineer anaemwambia afanye welding.

Tatu, mtu wa VETA atabishana na engineer kwamba huhitaji nondo zote hizo kwa kuwa mtu wa VETA anafikiria ni nondo ngapi zitatosha kusimamisha jengo au daraja wakati engineer anajua sio suala la kusimamisha jengo au daraja bali ni pamoja na uwezekano wa tetemeko, ukiukwaji wa uzito (maximum load), kugongwa na ndege, mafuriko nk, katika kitu kinaitwa "factor of safety" katika "extreme conditions".

Na ndio, engineer anatakiwa akae ofiini akipigwa kiyoyozi ili akili ifanye kazi vizuri na kutembelea site kila baada ya muda fulani na mtu wa VETA anatakiwa site muda wote.

Nimeandika haya nikiwa kwenye kada 1 ya construction na nimekutana na engineers wengi sana , nakiri kuna arh/qs wako njema sana kuliko eng kwa sababu wanakaa site sana

kama unataka kua eng wa theory endelea kukaa ofisin bila kupractise ukitegema kuweka provision kila sehemu
 
Nafikiri hao maengineer wanakuwa trained kuwa ma think tanks (critical thinkers), wewe technician unapoona hatua 10 yeye anaangalia hatua 100 zaidi. Wanakuwa na uelewa mpana zaidi wa mambo na options tofauti tofauti za kutoa miongozo ya utekelezaji. Ni sawa na kutaka daktari ashinde wodini kutoa matibabu, hajawa trained kwa ajili ya hilo. Yeye ata prescribe matibabu kwa case ambayo imekuwa referred kwake, lakini hutamwona anazunguka na sindano au dawa kuwapa wagonjwa.

technicians ni wazuri mara 10000000 kuliko bsc civil
 
Wewe fundi mchundo, engineer anakuwa site kukagua kazi aliyodesign. Huwezi Fanya design porini huko huwa wanaenda kwa feasibility study. Engineer anatakiwa atumie akili siyo nguvu kama kibarua au wewe.

Unakagua kipi??? unakagua kitu ambacho real practical yake huijui vizuri??
 
Nimeandika haya nikiwa kwenye kada 1 ya construction na nimekutana na engineers wengi sana , nakiri kuna arh/qs wako njema sana kuliko eng kwa sababu wanakaa site sana

kama unataka kua eng wa theory endelea kukaa ofisin bila kupractise ukitegema kuweka provision kila sehemu

Sasa kama unaelewa kwa nini unaanzisha uzi wa namna hii, kama vile wewe ni nguini?
 
Inaelekea umekutana na ma Engineer wa saizi yako.
Tembelea miradi na uone watu wanaojituma kikazi.
Tembelea Ubungo Interchange,Kimara~Morogoro Rd Widening,Tazara Flyover na hata miradi ya Barabara Kijichi ajiridhishe kuwa miradi hiyo haitekelezwi na wadau wako wa B.com au LL.B

Nyie mnaokaa na mainjinia ofisini mnawajua tu Design Engineers (mnaokula nao viyoyozi) na kwa sababu ya uelewa finyu mnafikiri hao ni wa site full time.
Kwa ulicho andika nahisi mtoa mada ni penguin per se, ambaye hajui the wide and different roles za Civil Engineer.

Kwa taarifa yako tu siku hizi unasoma general civil engineering hakuna ki_opt kama walivyokua wanafanya zamani

nahisi hiki ndicho kinachoongeza vilaza wa civil
 
Back
Top Bottom