Engineers wetu hasa hasa hawa CIVIL ENGINEERS

Unajua unachosema? Yaani engineers wafanye kazi za -engineer, u-technician (FTC), ufundi mchundo, (VETA)?

Umehamia chama tawala nini? Achana na siasa nenda kasome.
Sijui kwanini anawashambulia civil engs, hivi hakuna walimu wenye mapungufu?, doctors, accountants,..... watawala?

Hii kama sio obsession basi ni kisasi
 
hatuelewan, ila kama ni civil jitahidi sana uwe vzuri practical works kuliko theory
 
Sijui kwanini anawashambulia civil engs, hivi hakuna walimu wenye mapungufu?, doctors, accountants,..... watawala?

Hii kama sio obsession basi ni kisasi
Huyu lazima ali-disco u-engi akaenda FTC au VETA!

Kuna jamaa alishindwa ku-qualify u-engi akaenda kusoma chemistry, anawachukia ma-engi ile mbaya!
 
chini ya jua hakuna kitu nitakacho soma nokashindwa

mapovu yanawatoka sana, tz hasa kizazi hiki hakina civil ni wataalamu wa wa theory wakisaidiwa na gugo
 
Ahaaa! Ulisoma VETA kwa kuwa hukupenda kusomea u-engineer. Tazama, mzalendo wa kweli, Magufuli atamwona lini ampe ukuu wa mkoa!
 
Chukulia mfano Uwanja wa AC/INTER Milan zile cantiliver zaidi ya Metre 30 hapa bongo umewahi ziona???
Mkuu hiyo cantiliver umeangalia ni ya material gan maana bongo asilimia kubwa ya structure ni concrete....kwa upande wa steel ndo pekee inaweza kuaccomodate span kubwa kwny cantiliver....
 
Sio kweli ndugu yangu, Tanzania bado sana hawa watu wanahitaji kufanya practical

nakupa mfno: pale St joseph kuna steel structural ila bongo hii hakuna alieweza kudesign walitoa structural Kenya
Swala sio hakuna wa kudesign mkuu mbona tuna wakandarasi wa barabara lakini tender wanapewa wa china unataka kusema wanapewa sababu hakuna anaeweza kufanya kazi za barabara bongo..
 
Hapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Unataka injinia akasimamie mpaka vijumba vya kigogo?
Aisee
 
Hapa Utaona Ma engineer wanavyoteteana,hahahaa wengine wanatetea ili wazidi kuwapoteza Wenzao....Ukweli Utabaki Pale Pale,Ndio Maana Nowadays Nyumba tuu za Kawaida maeneo ya Kijichi,Kinyerezi,Mbweni,Ununio nk Unakuta nyumba Imejengwa hatari Nzuri sana tena na MTU ambae sio hata Engineer,sasa MPE kazi Engineer uone kitakachotokea na Cost juu zaidi,Haya mambo yanahitaji More Experiences, na Sio Tuu upande wa Civil hata Fani nyingine kama Umeme,Mechanical,
Unaweza kuta Electrical technician anajua zaidi kuliko Engineer,Nenda Viwandani Utajua naongea Nini,
Probably you Know Nothing About Engineering..
 
Hahaha, Bongo cantiliver Eng nani anaweza fanya hizo?? utazunguka sana, wanaoongoza kuharibu michoro ya wasanifu ni engineers kwa kwetu

Nakupa mfano tu Muulize Arch Mkonyi alichora Treasury ile ya Dodoma kwenye entrance tu alierka cantiliver isiyozid hata 5M nenda kaangalie ile entrance walivojaza manguzo yasiyo na misingi.
Mkuu Huelewi eNGINEERING hata kidogo
 
Back
Top Bottom