Tahadahari tahadhari
Uchakachuaji wamafuta umerudi tena kwa kasi, watu wengi nikiwemo mimi mwenywe nimezimikiwa gari baada ya kujaza mafuta kituoni hapo!!!
You guys, gari kuzima inawezekana kuna matatizo mengi. Unless you are sure the reason is contaminated fuel, vinginevyo si vema ku speculate
Mkuu tulia basi ufafanue kiundani tukuelewe, inawezekana ni hisia tu.
Najaribu kufikiri kua gari imezima sababu ya kuwekewa mafuta yaliyochanganyika na upepo.
Anyway, niña mobile Namba ya kuanzia mmiliki, manager mpaka Engen makao makuu, watakusaidia.
Dear All, we are very surprised with the reactions here.
We have stopped immediate sell of petrol at our station and will investigate. As to the number people who feel that they got "upepo" - we have have a fully calibrated measuring can.
You are welcome to come and see what our pumps deliver; we are immediately welcoming all those who feel their vehicles have a problem, to bring the vehicles at station. We will then perhaps also compare the 'tests' in your vehicle and what we have in the tank.
Please note recently we had no petrol for 4 days, we had options to buy petrol from depots other than Engen, but we did NOT buy because we wanted to be sure of quality, until we got fuel from the Engen depot, as Engen depot we are required to buy fuel from Engen...we are not taking this lightly...we will check and revert shortly
He Jamani hata mimi nimepata the same problem. Jana nimeweka mafuta pale Engen Mikocheni kutoka tu hapo gari likwa kama nilishtukashituka hadi leo asubuhi.
nimepata same problem from Engen,hawa wahindi is a matter of time
Mpaka sasa gari langu linasumbua yapata wiki. Niliweka mafuta ya laki 1 kituoni hapa na siku moja baadae gari langu likaanza kusumbua. Ni la petroli. Kama tetesi hizi zina ukweli wowote basi wameniharibia gari. Nifanyeje wakuu? Gari linajizima ovyo barabarani na linanitoa nishai, gari jipya tu
Mkuu ebu niambie gari yako imekuwaje na signs zilikuwa vipi maana niliweka wese hapo kwenye saa kumi na mbili leo na nimefika njia panda ya clouds naona kama gari ilikuwa imebadilika mlio na kuwa nzito flani.. Ebu tujuze mkuu..
Tahadahari tahadhari
Uchakachuaji wamafuta umerudi tena kwa kasi, watu wengi nikiwemo mimi mwenywe nimezimikiwa gari baada ya kujaza mafuta kituoni hapo!!!
Wapendwa nilikuwa nafanya kazi zangu nikaona mmoja amelalamikia hii sehemu ya kuchukulia mafuta
pengine imekuwa ikiaminika sana sana lakini mwenzangu ameongelea uchakachuaji wa mafuta mi nilikuwa mpenzi sana wa hiyo sheli ...siku nilijaza mafuta aikwenda mbali ikazima gari
niakmwita fundi pale kwa mwl nyerere akasema mafuta yana maji ama yamechanganywa na kitu akasema mapaka ivutwe kesho tuifanyie kazi nikaita gari nyumban wakaja kuivuta walipotoa mafuta asbh yake ni aibu nikawasha rvr nikawapelekea ......kama uliskia hivi karibuni kuna uongozi umebadikishwa na si hivyo tu walifunga na shell under ultimate moja ya issue ni kuchanganya mafuta na jamaa alikuwa amlipi mhusika aliemkodishia kituo
hii ninayoongea ya leo asbh saa nne dada mmoja kaja kunijazia jamani..upande wa kulia kuna mtu na pickup amejaza mafuta ya alfu hamsini ,, imeandikwa kabisa jamaa alipomaliza akasimama akamwita yule aliekuwa ananijazia akamwambia 40,000 kkumbuka ....jamani nilishindwa kuamini walipomaliza dada anaanza na s nikamuuliza kulikoni anakwamia 40,000 noana imeandikwa 50,000 akanijibu unataka kuongeza na wewe huku anaenda ...loh ..nikakoma nikaenda zangu kujaza full tank pale bp sheraton na kama nao wanapiga mi sijui
ila hiki kituo kina kazi wahindi wamefundwa kujaza mafuta yataa basi imekosa ubora kabisa
Mpaka sasa gari langu linasumbua yapata wiki. Niliweka mafuta ya laki 1 kituoni hapa na siku moja baadae gari langu likaanza kusumbua. Ni la petroli. Kama tetesi hizi zina ukweli wowote basi wameniharibia gari. Nifanyeje wakuu? Gari linajizima ovyo barabarani na linanitoa nishai, gari jipya tu