ENGEN Mikocheni wauza mafuta Machafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ENGEN Mikocheni wauza mafuta Machafu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Watu, Jan 19, 2012.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Tahadahari tahadhari

  Uchakachuaji wamafuta umerudi tena kwa kasi, watu wengi nikiwemo mimi mwenywe nimezimikiwa gari baada ya kujaza mafuta kituoni hapo!!!
   
 2. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu ebu niambie gari yako imekuwaje na signs zilikuwa vipi maana niliweka wese hapo kwenye saa kumi na mbili leo na nimefika njia panda ya clouds naona kama gari ilikuwa imebadilika mlio na kuwa nzito flani.. Ebu tujuze mkuu..
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  You guys, gari kuzima inawezekana kuna matatizo mengi. Unless you are sure the reason is contaminated fuel, vinginevyo si vema ku speculate
   
 4. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Mpaka sasa gari langu linasumbua yapata wiki. Niliweka mafuta ya laki 1 kituoni hapa na siku moja baadae gari langu likaanza kusumbua. Ni la petroli. Kama tetesi hizi zina ukweli wowote basi wameniharibia gari. Nifanyeje wakuu? Gari linajizima ovyo barabarani na linanitoa nishai, gari jipya tu
   
 5. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu sidhani kama prob itakuwa ya gari, maana hii gari haina hata mwezi barabarani n ilipofika tu niliipiga full service.. Why today baada ya kuweka wese hapo. Nimeenda BP kuongeza mafuta zaidi kujaribu kupunguza concentration ya mchakachuo will it help??
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Wapendwa nilikuwa nafanya kazi zangu nikaona mmoja amelalamikia hii sehemu ya kuchukulia mafuta
  pengine imekuwa ikiaminika sana sana lakini mwenzangu ameongelea uchakachuaji wa mafuta mi nilikuwa mpenzi sana wa hiyo sheli ...siku nilijaza mafuta aikwenda mbali ikazima gari

  niakmwita fundi pale kwa mwl nyerere akasema mafuta yana maji ama yamechanganywa na kitu akasema mapaka ivutwe kesho tuifanyie kazi nikaita gari nyumban wakaja kuivuta walipotoa mafuta asbh yake ni aibu nikawasha rvr nikawapelekea ......kama uliskia hivi karibuni kuna uongozi umebadikishwa na si hivyo tu walifunga na shell under ultimate moja ya issue ni kuchanganya mafuta na jamaa alikuwa amlipi mhusika aliemkodishia kituo

  hii ninayoongea ya leo asbh saa nne dada mmoja kaja kunijazia jamani..upande wa kulia kuna mtu na pickup amejaza mafuta ya alfu hamsini ,, imeandikwa kabisa jamaa alipomaliza akasimama akamwita yule aliekuwa ananijazia akamwambia 40,000 kkumbuka ....jamani nilishindwa kuamini walipomaliza dada anaanza na s nikamuuliza kulikoni anakwamia 40,000 noana imeandikwa 50,000 akanijibu unataka kuongeza na wewe huku anaenda ...loh ..nikakoma nikaenda zangu kujaza full tank pale bp sheraton na kama nao wanapiga mi sijui

  ila hiki kituo kina kazi wahindi wamefundwa kujaza mafuta yataa basi imekosa ubora kabisa
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Nikajiuliza nimejaza ya 10,000 mungu wangu si wameniwekea ya alfu 2
   
 8. Rocket

  Rocket Senior Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimepata same problem from Engen,hawa wahindi is a matter of time
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Mkuu tulia basi ufafanue kiundani tukuelewe, inawezekana ni hisia tu.
  Najaribu kufikiri kua gari imezima sababu ya kuwekewa mafuta yaliyochanganyika na upepo.
  Anyway, niña mobile Namba ya kuanzia mmiliki, manager mpaka Engen makao makuu, watakusaidia.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Dawa kununua kwa kidumu tu, mi wameshanichosha hawa wapenda dezo.
   
 11. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  He Jamani hata mimi nimepata the same problem. Jana nimeweka mafuta pale Engen Mikocheni kutoka tu hapo gari likwa kama nilishtukashituka hadi leo asubuhi.
   
 12. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Tumewasiliana na Engen, wameahidi kuingia JF kutoa ufafanuzi.

  Kifupi wanasema wamesimamisha uuzwaji wa mafuta ya petroli na wanajaribu kufuatilia usafi wa mafuta yao.
   
 13. E

  EngenMikocheni Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear All, we are very surprised with the reactions here.

  We have stopped immediate sell of petrol at our station and will investigate. As to the number people who feel that they got "upepo" - we have have a fully calibrated measuring can.

  You are welcome to come and see what our pumps deliver; we are immediately welcoming all those who feel their vehicles have a problem, to bring the vehicles at station. We will then perhaps also compare the 'tests' in your vehicle and what we have in the tank.

  Please note recently we had no petrol for 4 days, we had options to buy petrol from depots other than Engen, but we did NOT buy because we wanted to be sure of quality, until we got fuel from the Engen depot, as Engen depot we are required to buy fuel from Engen...we are not taking this lightly...we will check and revert shortly
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Mkuu sijakusoma, hapo ndio umemaanisha nini?
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145  Bila shaka mtakuwa mmewasoma wahusika hapo juu, kazi ni kwenu sasa.


   
 16. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,412
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Hayo ni mafuta machafu! Hata mimi ilinitokea last week. Shida ilikuwa gari ikifika kwenye mwinuko mdogo tu inaishiwa nguvu hata ukilazimisha kukanyaga accelerator bado hupati mwendo na mara nyingine inazimika. Nikalipeleka kwa fundi, wakashusha tank la mafuta, wakakuta maji kibao. Tukamwaga yale mafuta na kuweka mengine, sasa gari iko bomba. Ushauri wa BURE; jitahidi kununua mafuta vituo vya mjini. sikwambii vituo gani kwani sitaki kuwatangazia biashara.
   
 17. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,857
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Kuna agency Zinajilipa hela Kibao Kwa Ajili ya Kufanya Kazi Hii! Nadhani Kwa aliyepata matatizo ni Bora akaenda kwa Wahusika!! Kuna TBS - Ubora, Kuna EWURA - Hawa nao wanyonga hela Kibao ila kwa kusema ukweli Sijui Hata Kazi Yao!! Pia Kuna hawa wa WEGHS AND MEASURES. Wako pala Ilala Boma!! Huu ni full Mkanganyiko kwani Hakuna Hata Mmoja anayejua Jukuma lake la Kumlinda Mlaji linaishia wapi!!!
   
 18. Javed

  Javed Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe uliosema wamekuchafulia, naomba utueleze una "proof" gani that only mafuta ndiyo imekuharibia? Au unaongelea mashaka tu? Na kama je, kwanini usiwafuate hao wenye sheli uka claim? instead of kulalamika hapo!!
  guys pengine huyu hana hata gari... anaropoka tu... Au ni wivu wa watu wengine bcoz naona kama racisicm nyingi tu...
   
 19. W

  Wenger JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Nadhani lisemwalo lipo, wamejitokeza wengi walionunua mafuta hapo wanasema magari yao yalikuwa na matatizo ya kuzima dawa ni kutonunua mafuta kwenye hicho kituo.
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa nanunua Victoria Service station, nikiamini kuwa mmiliki wake ampokea Mungu hawezi kuwa na tamaa hizo, sijui kama najidanganya au ni kweli.
   
Loading...