Endesha+Simu=Kifo = vibandiko hovyo kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endesha+Simu=Kifo = vibandiko hovyo kabisa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAMESHO, Mar 24, 2012.

 1. MAMESHO

  MAMESHO Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  nimeshikitika kuona vibandiko hivi yva magari. endesha+simu=Kifo. nafahamu kwamba ajali zimetokea kwa matumizi ya simu wakati madereva wanaendesha. ila waliounda msemo huo nauchuklia kwamba ni matishio yasiyo na msingi. ambacho kingepaswa kufanyika ni kuwaeleza madereva nini cha kufanya badala ya kuwatishia. vipo vibandiko vizuri mfano: endesha kwa usalama. na vingine vingi ambavyo vinatoa mawazo chanya kwa madereva ambayo yanahimiza mabadiliko badala ya kuwatishia. au wadau manaonaje? huu ni mtazamo wangu binafsi
   
Loading...