Endesha+Simu=Kifo =msemo hovyo kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endesha+Simu=Kifo =msemo hovyo kabisa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMESHO, Mar 24, 2012.

 1. MAMESHO

  MAMESHO Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  nimeshikitika kuona vibandiko hivi yva magari. endesha+simu=Kifo. nafahamu kwamba ajali zimetokea kwa matumizi ya simu wakati madereva wanaendesha. ila waliounda msemo huo nauchuklia kwamba ni matishio yasiyo na msingi. ambacho kingepaswa kufanyika ni kuwaeleza madereva nini cha kufanya badala ya kuwatishia. vipo vibandiko vizuri mfano: endesha kwa usalama. na vingine vingi ambavyo vinatoa mawazo chanya kwa madereva ambayo yanahimiza mabadiliko badala ya kuwatishia. au wadau manaonaje? huu ni mtazamo wangu binafsi
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo lipo wapi?Lengo ni kuwa tahadharisha madereva wasiendesha wakiwa wanapiga simu!
   
 3. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Watu wengine bwana mnachekesha sana sasa hapo tatizo liko wapi unaambiwa ukweli unataka ubembelezwe kwa nini? Kwani ni uwongo watu wanakufa kweli na siyo hizo brabra unazozitaka wewe kuweni wataarabu kwa kuunga mkono juhudi za watu makini kupunguza ajali za kizembe hasa kwenu vijana ambao kwenu sheria ni kikwazo kila kitu mnaita haki za binadamu washawishi wajinga kama wewe muandamane hvyooooooooooooooooooooooooooooooooo utafikiri umelata kitu cha maana pole sana
   
 4. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  baada ya kushikitika..pendekeza basi usemi sahihi kamanda:pizza:
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baadae watakuja na KUONGEA+KUENDESHA=KUZIMIA, ili mradi kuwatengenezea miradi trafiki
   
 6. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wangesema, kuendesha huku ukizungumza kwenye simu ni chanzo cha ajali, nadhani walitaka watumie maneno machache kufikisha ujumbe, unfortunately ndo ikawa hivyo...wawie radhi mkuu
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Mimi sioni tatizo kwenye huo ujumbe
   
Loading...