Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Kah. Ndio maana wanasema kwenye familia yeyote mwanamke akiwa mchawi ..familia inakwisha...hata huruma Flo umekosa kwa mtu aliyekuzalisha mtoto lol....hebu ona aibu hata kama ni kweli iyo ni biblia gani unayosoma isiyoruhusu msamaha?Mungu atakuweka mahali Pako siku si nyingi..
 
1403226518298.jpg
Inasikitisha sana. Ndoa imevunjika vibaya sana hii. Ni kidonda kwa wanandoa na binti yao.
 
dah naona maskini jamaa kakata kilo za kutosha ndani ya mwezi mmoja tu......pole mbasha
 
Emma ndo maisha hayo yalivyo ulimpata mtu mwenye malengo yake sasa umemsaidia kuyatimiza na yametimia kweli akuhitaji wewe wa nini maana amekuwa juu alipotaka kufika anahitaji wa juu wenzake usipoteze tena time zako kwa huyo tayari amepata anachotaka na asilimia kubwa ya wanawake wako hivyo akifanikiwa kufika anapotaka anamtupa aliyemuonyesha njia na kujiunga na aliowataka kukutana nao. Mungu atakusaidia kamanda tuamaliza haya yote
 
Mke wangu mama lisa anampenda sana huyu gwajima a amuita mpakwa mafuta..mxxxxxx mpakwa mafuta ya rough ridder au?
 
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji

Wakati huo huo sheikh ponda bado anasota segerea huko wakati,halafu wauaji wana achiwa huru..hatari sana hii nchi.
 
Emma ndo maisha hayo yalivyo ulimpata mtu mwenye malengo yake sasa umemsaidia kuyatimiza na yametimia kweli akuhitaji wewe wa nini maana amekuwa juu alipotaka kufika anahitaji wa juu wenzake usipoteze tena time zako kwa huyo tayari amepata anachotaka na asilimia kubwa ya wanawake wako hivyo akifanikiwa kufika anapotaka anamtupa aliyemuonyesha njia na kujiunga na aliowataka kukutana nao. Mungu atakusaidia kamanda tuamaliza haya yote

Wanasemaga wanawake wote wana roho mbaya isipokua "mama yako mzazi tu" lakini pia wanasema "not all women are ment to be mothers".....TAFAKARI.
 
Yaani huyu dada mmh! sina hamu nae kabisa, nimemshangaa na bado nashangaa, hivi unawezaje kumfunga baba wa mtoto wako? Ila kama kweli amembambikia kesi mumewe Mungu huwa hachelewi wala hawaii, majibu tutayapata hapahapa

Inawezekana pia mtoto si wa Emma!!sababu umalaya upo kwenye damu!!
 
Yawezekana ikawa ni kweli au anasingiziwa...Tanzania yetu imekuwa ni kubambikiana mambo kwajili ya mtu kujiridhisha kimwili na mkeo.

Tangu misafara ya ziara ya Mh.Vasco na mama(mke wa jamaa) kuwa mtumbuizaji kinara,wengi tulitegemea shari iliyo shwari au vinginevyo.

Niaminivyo,ukiambatana sana na mtu wa jinsia tofauti taratibu unaanza kujengeka kihisia,na ikiwa anakusifia na kukutabasamia kila wakati(kama Mke wa jamaa alivyokuwa) basi kifuatacho hapo ni muendelezo wa picha behind the scene.

Tukio la jamaa nalifananisha na la kina babu seya...na tutegemee mengine mengi ya namna hii.
 
From now on atakua akisali kwa gwajima,kwa mzee wa upako,Assembles,KKKT au RC?
 
Mkasa wa huyu Ema unahitaji moyo wa Ziada....
Unaweza ukavunja ndoa mtu
 
marekebisho yapi unayapendekeza?

-Kwanza wakati watu wanatangaza uchumba liundwe jopo la wataalamu ambao watachunguza ikiwa ni kweli watu hao wamependana ama wametamaniana!

-Mwanaume ataruhusiwa official kuwa na reserve/spare Tyre ukipenda, na mwanamke as well, wawalete wazi na ikubalike bila kuacha shaka kwamba machaguzi hayo ni ya pili just in case likitokea la kutokea ili kuepusha adha wapatazo wenza waliokwisha tumika once wakiachana.

-Ikiwa mmoja ataamua kumwacha mwenzie kwa sababu nyepesi nyepesi na kwamba mwenzie bado anampenda,na hawezi kumshawishi kuendelea kuwa nae basi kiundwe chombo cha kukokotoa uchakavu wa aliyeachwa ili anayeacha mwenzie akilipe kisha ashike hamsini zake.
 
Back
Top Bottom