Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
Karibu uraiani The Bold
Asante mkuu,
Ingawa kama sijakuelewa hivi.!!
Karibu uraiani The Bold
kwa hiyo kama mkeo akikunyima ujanja ni kulala na mdogo wake. KOSA LA MBASHA NI KUBAKA HATA KAMA FROLA ANAMAKOSA YAKE NAYE ANAKOSA PIA.
Hongera Mbasha kwa kupata bond. Mpe talaka huyo Flora
Alimbaka au walikubaliana
kwa hiyo kama mkeo akikunyima ujanja ni kulala na mdogo wake. KOSA LA MBASHA NI KUBAKA HATA KAMA FROLA ANAMAKOSA YAKE NAYE ANAKOSA PIA.
Nilikuwa Nina mawazo kama yakofrola alijua kuwa mmewe ataachiwa kwa dhamana ndo maana akajidai kavamiwa home ili aondoke home jamaa akifika asimkute na watu wakihoji kwanini hayuko home aseme nilivamiwa pale sio sehemu salama kwangu
Usitetee kitu usichokifahamu!!
kama mbasha hakuzini na huyo binti kesi imetoka wapi mkuu? acheni kuwa upande mmoja tu.Kumpa talaka kwa sasa haitakuwa jambo sahihi!! Ingawa kimsingi ni kama vile ndoa haipo tena, ila vitu kadhaa vilovyonyuma ya pazia ambapo vitasaidia katika hii kesi na kumtungua mzee wa hummer, na ili vifanikiwe tunahitaji hii ‘ndoa' iendelee kuwepo!!! Hata wao wanafahamu hilo ndio maana wanaleta kadhia yote hii ili florah apewe talaka.!!
Nimemchukia sana huyu Gwajima.
Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj[/QU qOTE]
yaani mi simpendi sa hv huyu dada
Kiukweli bila kuhukumiana maana wengi tu wadhambi,wazinzi wa kila namna n.k....mwana ndoa kumfanyia hizi mzazi mwenzio uliyelala nae kitanda kimoja kwa miaka zaidi ya 10....uliyeshiriki nae shida na raha zote....alafu ukaamua kubariki hatua kama hizi kwa mke/mmeo hata kama si wewe moja kwa moja....lazima uwe na roho ya aina yake.......
Nimeangalia picha za jamaa pale mahakamani inatia huruma sana.....sijui Flora anajisikiaje!! What ever the mistake done......wana ndoa wanazo namna ya kumaliza tofauti zao na hekima na mapenzi ya kweli Flora alipaswa kusimama kizimbani na mme wake........ndio ndoa....ndio kufa na kuzikana......ndio kuvumiliana....nyie ni mwili mmoja....ndio maana mnakaa uchi kila mmoja akimjua mwenzake na kusitiriana.....ndio maana zipu ya baba ikisahaulika kufungwa mke anakimbilia kumsitiri mume.........hakuna namna ya Flora kujitetea kwa namna alivyoshughulikia swala la mume wake na kumuanika kwenye vyombo vya habari.......Flora unajua mama na baba yako wamefichiana mangapi? vipi baba yako angeishia jela kupitia mikono ya mama yako kwa issues kama hizi?
Kwanini zimekosekana kabisa hekima kumaliza hili.....sawa wengine mtamuita Gwajima majina yote lakini ni mtumishi wa Mungu na hawa ni kondoo wake tena wakaribu sana....kwanini haikutumika hekima kuhoji na kusuluhisha ikibidi hata kwa kutumia wachungaji ambao Emma anaweza kuwa na imani nao?
Ghafla nakumbuka kisa cha ufoooooo
Asante mkuu,
Ingawa kama sijakuelewa hivi.!!
kama mbasha hakuzini na huyo binti kesi imetoka wapi mkuu? acheni kuwa upande mmoja tu.
Kuzini sio kosa kisheria, rekebisha
heee the bold upi mungu ni mweme ar you okey?
Hivi flora ni mlokole wa dhehebu gani? Mana kma ni kwa mzee wa misukule ni sawa anaroho ngumu na mbaya.kma hamtaki mbasha c mnaacha 2 na maisha yanaendelea,kumfunga ndio ameona ila kila ki2 kitakua wazi mda c mrefu cjui ataficha aibu wapi huyu mama huruma