idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Ujumbe wako unabusara sana.!Mkewe anataka kumwangamiza tu bure, Flora hufai;
Wanawake tukiachana na wanaume huwa
hatuwatafutii visa; ni kuondoka tu na maisha yanaendelea kama kawaida.
Flora anamtesa tu mtoto wa mwanamke mwenzetu kwa ajili
ya uasherati wake.