Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Nimemchukia sana huyu Gwajima.

Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj
 
Bullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
Mkuu kesi ina dhamana kutokana na mazingira ya tukio kufanyika kwani sio wote wanaopelekwa kwa pilato wamebaka wengine term and condition wameshindana wanazua la kuzua na wengine kwa kuwa wanajua watu wa karibu siku hizi wanafanya unyama huu, wanafanya tukio kwa watoto alafu anatishwa anaambiwa amtaje mtu ndani ya familia hivyo kuna mazingira yanahitaji umakini wa kudhibitisha
 
kesi ya kuua,ujambazi,madawa ya kulevya haina bail.
 
Hongera Mbasha kwa kupata bond. Mpe talaka huyo Flora
 
Nilishangaa kuona na housegirl eti nae kaingia kwenye kesi. Sasa hivi mkeo akichukuliwa na kukuacha na housegirl na mdogo wake wewe ukale wapi na kitu kimesimama usiku, unakituliza kwa neno bado kimesimama tu? Ukizingatia kuokoka kunamfanya asionekane kwenye viunga vya dada pooozi
kwa hiyo kama mkeo akikunyima ujanja ni kulala na mdogo wake. KOSA LA MBASHA NI KUBAKA HATA KAMA FROLA ANAMAKOSA YAKE NAYE ANAKOSA PIA.
 
Nimemchukia sana huyu Gwajima.

Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj[/QUOTE
Tungekuwa tunatoa hukumu kwa kupiga kura kama tunavyochagua wanamuziki bora, nadhani wengi wangefungwa (una uhakika na Gwajima mkuu?), aliebakwa ana ufahamu kama ni kweli itadhihirika na kama ni uongo pia itadhihirika maana alikuwa wapi siku zote kusema mpaka wakati mwingine anabakwa kwenye gari ambapo inahitaji pozi maalumu la kugegedana tofauti na ndani mtu anaweza kuku-tight lakini kwenye gari lazima kuandaliwe na pozi flani unless kama ilikuwa kwenye bodi ya fuso
 
Nimemchukia sana huyu Gwajima.

Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj
Tungekuwa tunatoa hukumu kwa kupiga kura kama tunavyochagua wanamuziki bora, nadhani wengi wangefungwa (una uhakika na Gwajima mkuu?), aliebakwa ana ufahamu kama ni kweli itadhihirika na kama ni uongo pia itadhihirika maana alikuwa wapi siku zote kusema mpaka wakati mwingine anabakwa kwenye gari ambapo inahitaji pozi maalumu la kugegedana tofauti na ndani mtu anaweza kuku-tight lakini kwenye gari lazima kuandaliwe na pozi flani unless kama ilikuwa kwenye bodi ya fuso
 
•Duuuuu hivi Conrad yupo nje kwa zamana wakati amemua mtu Ambrosia? Sheria za bongo ni kwa wala vumbi na wasakanyoka ila watoto wa vigogo wana immunity.
•Mbasha kubali yaishe huyo polygon hakutaki usimng'ang'anie when a woman fed up ,It ain't nothing you can do about it,inuka kuanza upya sio ujinga mwache gwajima ajilie what goes around comes around! Waanhe(100 in Birdman voice)
 
Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia
 
Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia

Hili janamke katili hatar, ndo maana lina sura ngumu ka tope la uyole
 
frola alijua kuwa mmewe ataachiwa kwa dhamana ndo maana akajidai kavamiwa home ili aondoke home jamaa akifika asimkute na watu wakihoji kwanini hayuko home aseme nilivamiwa pale sio sehemu salama kwangu
 
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji

What? :der:
 
Back
Top Bottom