Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia
Hili janamke katili hatar, ndo maana lina sura ngumu ka tope la uyole
Huko Tabata wanaishi nyumba ya kupanga au nyumba wanayoim iliki?
Huko Tabata wanaishi nyumba ya kupanga au nyumba wanayoim iliki?
Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia
frola alijua kuwa mmewe ataachiwa kwa dhamana ndo maana akajidai kavamiwa home ili aondoke home jamaa akifika asimkute na watu wakihoji kwanini hayuko home aseme nilivamiwa pale sio sehemu salama kwangu
Dah Flora ni mnyama kupita kiasi mumeo hata aue hadharani mke unapaswa kuwa nae bega kwa bega kama Hillary Clinton
hata mwaka hautaisha na ujue kam'bambikia ona anajifanya hajui mumewe alikuwa ndani alitaka nani ajue hilo wakati ni jukumu lakeYaani huyu dada mmh! sina hamu nae kabisa, nimemshangaa na bado nashangaa, hivi unawezaje kumfunga baba wa mtoto wako? Ila kama kweli amembambikia kesi mumewe Mungu huwa hachelewi wala hawaii, majibu tutayapata hapahapa
Itakusaidia nini?
Nimemchukia sana huyu Gwajima.
Na huyu flora,hakika malipo ni hapahapa dunian.
Bw.mbasha anaaibishwa kwasabab ya umasikini wake tu,na si ubakaj
Kiukweli bila kuhukumiana maana wengi tu wadhambi,wazinzi wa kila namna n.k....mwana ndoa kumfanyia hizi mzazi mwenzio uliyelala nae kitanda kimoja kwa miaka zaidi ya 10....uliyeshiriki nae shida na raha zote....alafu ukaamua kubariki hatua kama hizi kwa mke/mmeo hata kama si wewe moja kwa moja....lazima uwe na roho ya aina yake.......
Nimeangalia picha za jamaa pale mahakamani inatia huruma sana.....sijui Flora anajisikiaje!! What ever the mistake done......wana ndoa wanazo namna ya kumaliza tofauti zao na hekima na mapenzi ya kweli Flora alipaswa kusimama kizimbani na mme wake........ndio ndoa....ndio kufa na kuzikana......ndio kuvumiliana....nyie ni mwili mmoja....ndio maana mnakaa uchi kila mmoja akimjua mwenzake na kusitiriana.....ndio maana zipu ya baba ikisahaulika kufungwa mke anakimbilia kumsitiri mume.........hakuna namna ya Flora kujitetea kwa namna alivyoshughulikia swala la mume wake na kumuanika kwenye vyombo vya habari.......Flora unajua mama na baba yako wamefichiana mangapi? vipi baba yako angeishia jela kupitia mikono ya mama yako kwa issues kama hizi?
Kwanini zimekosekana kabisa hekima kumaliza hili.....sawa wengine mtamuita Gwajima majina yote lakini ni mtumishi wa Mungu na hawa ni kondoo wake tena wakaribu sana....kwanini haikutumika hekima kuhoji na kusuluhisha ikibidi hata kwa kutumia wachungaji ambao Emma anaweza kuwa na imani nao?
Kwa sisi tuliopitia Advanced Mathematics A-Level. Ambapo tulikesha na Backhouse na Tranter,tunasema 'most probably'(hapo maana yake probability ya kutokua yeye ni one over ten power hundred)- ni mtu wa Mungu mzee wa upako and company.Nani kasimamia show ya dhamana mkuu?