omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Laiti wanandoa hawa wasingekuwa maarufu kama walivyo, na cha zaidi kabisa wasingekuwa na mtoto!Huyo Flora ameshakuwa halali kwa walimwengu sasa, maana hata huko aliko jisetiri watamfukuza muda si mrefu.
Si kesi inaenda mahakamani?
Stori ndo kwanzan inaaza, alikuwa wapi wakati mwenziwe anadaiwa kubaka.
Check it out-attention ya stori hii lazima itahamia kwa Flora.
Kama wengi tunavyojua ndoa inaitwa 'PINGU ZA MAISHA' na wala hakuna kulelax kwenye ndoa, inakupasa kuumia kwa ajili au niaba ya mwenzi wako. Na kwa vile ni kupitia milima na mabonde basi inapasa kuangalia kama kuna kipindi mliwahi kupendana basi mchukulie huo wakati kama mfano wa nyakati za matatizo.
Kwa kifupi wanandoa hawa wangelishtuka mapema wangeliweza kuyaweka sawa mambo yao lakini sasa yameshavuja na atakayeteseka zaidi maishani mwake na hata wajukuu (historical torture) ni mtoto aliyetokana na hii ndoa!