Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

Bora huyu anatumia uti wa mgongo kuliko wewe unatumia makalio kufikiri! Shame on you mbakaji!
Mtu abakwe halafu akae kimya! Zaa binti yako halafu abakwe na houseboy ukae kimya! Shame on you!
Huko ndiko kutumia Uti wa mgongo kufikiri.........Nani kakuambia Akae kimya.............Huoni kama unatukana..........?umekosa lugha mzuri ya kuongeaa.........?Hujui ya kuwa wengine ni Tasa na Wagumba...........? Acha kukurupuka......!!!!!!

Una maana abakwe na kukaa kimya?
La hasha.........Busara itumike.........Kushauri, kumuombea Radhi mumewe ili Aibu ya ndoa yao isitoke nje ya Familia...........kumbuka Mume na Mke ni mwili mmoja aibu ya mume ni aibu ya mke.................
 
USITUMIE UTI WA MGONGO KUFIKIRI.......kwani Flora ungemshauri mdogo wake asishitaki angekataa................?

may be alimshitaki bila kum-consult dada mtu kwanza. by the time dada mtu anajua na file liko police. TUMIA AKILI KUFIKIRI NA KUCHANGANUA MAMBO
 
Gwajima kweli huoni aibu kujiita NABII? nabii wa shetani wewe!

Aone aibu ya nini wakati watu wenyewe ndiyo mnampa shavu na kushuhudia jinsi Mungu alivyowatendea kupita yeye. Watz bwana sometimes akili zinaruka!!! Apatikane mtu kizunguruka moto akalamba mfede wake akajua nini maana ya kutembea na wake za watu. Mnzishe sana yule!
 
Kwa emma. Wakati ukiwa una3ndelea na kesi yako, tafuta wadhamini wakupe vyombo uendelee kujidondosha sebene. Wewe tajiri bwana. Bado unapendwa na watu sana tu.
 
may be alimshitaki bila kum-consult dada mtu kwanza. by the time dada mtu anajua na file liko police. TUMIA AKILI KUFIKIRI NA KUCHANGANUA MAMBO

kwa hiyo alifungua kesi polisi alivyobakwa mara ya kwanza sebuleni au alivyobakwa mara ya pili ndani ya gari? Halafu ujue kubaka ndani ya gari si kazi ndogo lazima uwe umeshiba kidogo...
 
I have a dream. I can see Mr. Mbasha is being set free and being married to a very nice upcoming singer. They are being blessed and provided by Jehovah the maximum wealth in this world! In other hand,i can see FM,deterioted,very poor,wicked and doomed, roasting cassava somewhere near Buguruni Rozana. Just my dream!

tehe tehe teeeee! ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kwa emma. Wakati ukiwa una3ndelea na kesi yako, tafuta wadhamini wakupe vyombo uendelee kujidondosha sebene. Wewe tajiri bwana. Bado unapendwa na watu sana tu.

wazo zuri sana!tena wengine hata kama sio wapenzi wa mziki wake wataenda tu ili kumwona si unajua kwa sasa yeye ndo ANATAWALA hata VICKY KAMATTTA tena hasikiki? (AMESHUKURUJE)
 
kwa hiyo alifungua kesi polisi alivyobakwa mara ya kwanza sebuleni au alivyobakwa mara ya pili ndani ya gari? Halafu ujue kubaka ndani ya gari si kazi ndogo lazima uwe umeshiba kidogo...

sikuwepo
 
Ndoa ni tamu lakini ikishaingia mushkeri... usiombe
 
Huko ndiko kutumia Uti wa mgongo kufikiri.........Nani kakuambia Akae kimya.............Huoni kama unatukana..........?umekosa lugha mzuri ya kuongeaa.........?Hujui ya kuwa wengine ni Tasa na Wagumba...........? Acha kukurupuka......!!!!!!

La hasha.........Busara itumike.........Kushauri, kumuombea Radhi mumewe ili Aibu ya ndoa yao isitoke nje ya Familia...........kumbuka Mume na Mke ni mwili mmoja aibu ya mume ni aibu ya mke.................

Kumbe naongea na TASA lol! No wonder hujui uchungu wa mwana kubakwa! So sad!
 
Kumbe naongea na TASA lol! No wonder hujui uchungu wa mwana kubakwa! So sad!
bado unazidi kutumia Uti wa mgongo kufikiri..........Kati ya Utasa na Ugumba lepi linanihusu.........?Halafu nani kakuambia kuwa Uchungu wa Mwana ajuae ni Mzazi tu.............? comeon Baby not come with simple mind..............!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom