tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Nipo mkuu!
The bold kimya mkuu tupe habari za hawa manabii wazinzi mana misukule yao inaleta shida hpa jamvini
Nipo mkuu!
Nipo mkuu!
hana dhehebu maalum yeye sehemu yoyote anapoitwa kupiga sebene anapiga.
Emma ndo maisha hayo yalivyo ulimpata mtu mwenye malengo yake sasa umemsaidia kuyatimiza na yametimia kweli akuhitaji wewe wa nini maana amekuwa juu alipotaka kufika anahitaji wa juu wenzake usipoteze tena time zako kwa huyo tayari amepata anachotaka na asilimia kubwa ya wanawake wako hivyo akifanikiwa kufika anapotaka anamtupa aliyemuonyesha njia na kujiunga na aliowataka kukutana nao. Mungu atakusaidia kamanda tuamaliza haya yote
Huko Tabata wanaishi nyumba ya kupanga au nyumba wanayoim iliki?
Nipo mkuu!
The bold wewe ndo Emmanuel Mbasha????
Nahisi vitu vingi vingi vingine sivisemi hadharani!!
Emmanuel alivyotiwa rumande tu ghafla michango yako humu jamvini imepotea, alivyoripotiwa kurudi tu michango km kawa.
NI WEWE EEEHH!!
POLE MZAZI.
Mkasa wa huyu Ema unahitaji moyo wa Ziada....
Unaweza ukavunja ndoa mtu
Eti Flora amesema hajui kama Emma amefikishwa mahakamani. In maana hata magazeti hasomi jamani? yaani lady akikugeuka ujue amegeuka halafu ukifa analia
I have a dream. I can see Mr. Mbasha is being set free and being married to a very nice upcoming singer. They are being blessed and provided by Jehovah the maximum wealth in this world! In other hand,i can see FM,deterioted,very poor,wicked and doomed, roasting cassava somewhere near Buguruni Rozana. Just my dream!
Huyo Flora ameshakuwa halali kwa walimwengu sasa, maana hata huko aliko jisetiri watamfukuza muda si mrefu.View attachment 166076
View attachment 166077
kweli hii ni haki jamani
flora kumbuka pale
uliposema kuwa utampenda
mumeo katika shida naraha
iweje leo umfanyie hivi?
Iweje leo umuanike mwenzio
hadharani kiasi hichi
utamfundisha nini mtotowako
na wanawake umetulet down kweli
ONYO: Aisee nifanye chochote utakacho, LAKINI KUNIGUSIA MKE WANGU AISEE patashimbika - uwe billionea au fukara kama mimi yaani cha moto lazima ukione, nikikushindwa kwa nguvu za NURU basi lazima tumalizane kwenye nguvu za GIZA. Lazima nikushushe shipa aisee!! hata kama ni nabii shipa lazima lishuke tu!!
Gwajima...:cool2:hata kama siyo flora still alikua na nafasi ya kuzuia maneno yasifike
mbali ila kwa kuwa ana roho mbaya akaamua kumuacha mzazi mwenzake
afungwe sijui atapata faida gani huyo mwanamke. kweli nimeamini chuki ya mwanamke ni zaidi ya nyoka mwenye sumu.
gwajima kweli huoni aibu kujiita nabii? Nabii wa shetani wewe!
The bold wewe ndo Emmanuel Mbasha????
Nahisi vitu vingi vingi vingine sivisemi hadharani!!
Emmanuel alivyotiwa rumande tu ghafla michango yako humu jamvini imepotea, alivyoripotiwa kurudi tu michango km kawa.
NI WEWE EEEHH!!
POLE MZAZI.