Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,

Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,

Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?

Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.
Mdau,watu ambao wameamua wenyewe kulala bila nguo uwaache kama walivyo.Utaumiza kichwa ila walishaamua kulala bila nguo.
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mkuu.

Hakikisha unalinda kadi yako ya kura na siku ikifika ukawapigie wagombea wa UKAWA kwa mustakabali mzuri wa taiga letu.
pigia ccm ukawa ni ukiwa. pigia magufuli.
 
Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,

Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,

Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?

Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.
ulITAKA AKUOE.WEWEE??UKOOWAO.AUNAHAKO KAMCHEZO WE KoMAA.NA.MIZIGOYAKOYA SINZA
 
Yaaani ulivyolalama kwa uchungu kama u ulikuwa bibiyake..shidakwelii...tafutamadamoja nimesema ya mbadha aachiwe mkewe utajua nilimaanisha nn muoe muone rahayapenzi kilasiku mnabeba.mizigo tu ya sinza..huku ukionja hata umfumanie anagongwa watu tunaendelea mpwaa asili tamu
 
Ndipo Petro akamjia Yesu na kumwuliza, "Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?" Yesu akamjibu, '‘Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.''

Mathew 18: 21-22
 
mapenzeeeee huwez jua papuche ya huyo mwanamama tamuje woyyyy sika jembe ukalime
 
siri za ndani huwezi kuzijua ... hujui waliishi vipi zaidi ya mambo madogomadogo tu ambayo waandishi wa habari waliyaanika.....

Binafsi nampongeza Mbasha kwa huo uamuzi... hakuna haja ya kumwacha mkeo kisa tu alikutakia mabaya... kwa neema ta Mungu, Frola anaweza kubadilika na kuacha ujinga alioufanya.
 
mi huwa mtu akishinda kesi simaanishi hana makosa. kwa tanzania yetu mtu anaweza kubaka/kuiba hadharani lakini akashinda kesi! hii haimaanishi hajatenda hilo kosa.
kama kweli hajabaka mungu atamsitiri ila kama alibaka kweli ipo siku tu ataumbukaaa
 
Asimpende mchezo????
Mpunga wote anaoringia mjini source ni flora...... kitegauchumi chake muacheni

Anyway mapenzi huwa ya wawili wakigombana wengine tubebe majembe tukalime
Huyu jamaa nadhani anataka kumuweka adui karibu ili iwe rahisi kulipita kisasi
 
Mhhh sidhani maana qwikwiii
nilivo na akili chafu mm nigepewa kesi ya kuua bila kukusudia...
Namwaga mchanga kwenye highway.
 
kupenda co mchezo,,,mapenz n kama ugonjwa unaumwa unapona unasahau kama ushaumwa

ila v
flora kashamchoka mumewe ndo maana anaaamuatu kumnyanyasa
 
Kwanza kutembea na mwanaume mwingine ni sababu tosha ya kumfukuza.

Kuna wanaume mazezeta dunia haijawahi kuona.
 
Commit acrime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm, I wish I could be your saliva So that I could taste your lips whenever
I envy your hipster
Vile inakushika kwamapaaâ Kwakweli manzi umebarikiwa
Ndio maana tunaimba halleluyah I wish I could be your shoe
I would have such a beautiful view And if I was the slit on your dress My goal in life would be to aim for the highest
If only I could be your body lotion I would walk with undivided devotion
Kila siku nakufikiria
Ndio maana nasinzia
****nameless
 
Back
Top Bottom