mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
wapambe noooomaaaaa
The power of p@püçhî
hongera mbasa.
japo wasojua maana halisi ya ndoa hasa ya kikristu watakubeza sana.umetimiza wajibu wako mengine muachie mungu ahukumu yy.
wajibu wako ni samehe tu,hayo mengine si wajibu wako ni wa mungu.
safi sana na hiyo ndo tafsiri sahihi ya kuhubiri injili kwa vitendo na kujitwika msalaba wako kumfuata kristu.km mnalitazama jambo hili kimtaani zaidi mtamuina jamaa mjinga.lkn jamaa kamuaibisha shetani sana kwa kufanya hivi
Msiingilie ndoa iliyofingwa na Mungu. Waacheni wenyewe waamue. Hayo mengine ni changa moto za kimaisha tu.
Unafurahia ujinga kwanini? Hivi nyie watu wengine akili zenu huwa zime crack? Flora ni mzinzi na msaliti hatari,eti ndoa ya kikristo,ni wapi wakristo waliruhusiwa kukaa na wanawake wazinzi? Hebu soma mathayo 5:32.Nyie ndo wauaji wakubwa janamke bovu lile ni la kuishi nalo hilo? Wewe ni punguani kama mbasha.
Mzinzi ulizini nae !!??? Wee ni nani mpaka uhukumu pasipo ushaidi !!!Unafurahia ujinga kwanini? Hivi nyie watu wengine akili zenu huwa zime crack? Flora ni mzinzi na msaliti hatari,eti ndoa ya kikristo,ni wapi wakristo waliruhusiwa kukaa na wanawake wazinzi? Hebu soma mathayo 5:32.Nyie ndo wauaji wakubwa janamke bovu lile ni la kuishi nalo hilo? Wewe ni punguani kama mbasha.
ulITAKA AKUOE.WEWEE??UKOOWAO.AUNAHAKO KAMCHEZO WE KoMAA.NA.MIZIGOYAKOYA SINZA
Unafurahia ujinga kwanini? Hivi nyie watu wengine akili zenu huwa zime crack? Flora ni mzinzi na msaliti hatari,eti ndoa ya kikristo,ni wapi wakristo waliruhusiwa kukaa na wanawake wazinzi? Hebu soma mathayo 5:32.Nyie ndo wauaji wakubwa janamke bovu lile ni la kuishi nalo hilo? Wewe ni punguani kama mbasha.
Hivi nyie huwa mnambahatisha Mungu eti? Mungu si wa mchezo hata kidogo,ndoa iliyopangwa na Mungu haiwezi kuwa ya kishenzi hivyo,maana Mungu ni Mungu ni mtakatifu sana na baraka zake ni za kipekee kabisa,hiyo ndoa ya shetani,MUNGU anawezaje kukupa mwanamke anayetaka ufie jela?nyie walokole wengine huwa ni mafyatu.
Hayo waachie wenyewe,nakukumbusha october 25 weka tick kwenye picha ya magufuli.
Umevamia kijiwe cha watu huku!Wengine tumewaachia makelele kule mnakuja kuharibu starehe zetu na wakawaida wenu!Ya Ngoswe mwachie Ngoswe mkuu.
Hakikisha unalinda kadi yako ya kura na siku ikifika ukawapigie wagombea wa UKAWA kwa mustakabali mzuri wa taifa letu.
Mkuu mbona umeandika kwa uchungu sana?, wewe ulitaka amuache mkewe?, unasema kwamba Flora alitaka aozee jela wewe ulitaka Fora afanye nini wakati aliyedaiwa kubakwa ni mdogo wake?, ungekuwa wewe ungefanya nini?. Flora alitimiza matakwa ya kisheria na ndo maana baada ya Mahakama kuona hana hatia Flora alimpongeza na akasema bayana kuwa yupo tayari kurudiana na mumewe. Mimi nilichojifunza hapa ni kwamba kama Fora angemtetea Imma bila suala hili kupelekwa katika vyombo vya sheria angetengeneza mgogoro mkubwa na familia yake. Kwa maoni yangu mimi hawa wanandoa kama wamesameheana ni jambo jema sisi tulio pembeni tusichochee kuni wakati inawezekana ndoa zetu zina matatizo zaidi ya hayo.
The best revenge is 4giveness
Karogwa na Gwajima.Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,
Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,
Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?
Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.