Walichafuana sana, wakirudiana nitashangaaa!
Msiingilie ndoa iliyofingwa na Mungu. Waacheni wenyewe waamue. Hayo mengine ni changa moto za kimaisha tu.Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,
Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,
Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?
Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.
Mapenzi ya wanandoa ni tofauti na ufikiriavyo. Utashangaa soon wanarudiana. Mungu ni mwema
The power of p@püçhî
Ndoa na mapenzi ni mambo ambayo mara nyingi huwa hayaingiliwi,yametawaliwa na msemo kuwa'mapenzi ni wawili tu akiongezeka wa tatu ni mchawi',lakini pia huwa inapobidi watu wanaingilia hasa pale wahusika au mhusika mmoja anapovuka mstari mwekundu,
Hakuna asiyejua sakata la mbasha na mkewe flora,huyu jamaa alituhumiwa kumbaka shemeji yake,mmoja wa shahidi muhimu upande wa mashtaka alikuwa mkewe flora,ina maana flora alitaka mumewe aozee jela,na kweli wakati kesi ikiendelea flora alienda mahakamani na kutoa ushahidi wa kumkandamiza mumewe ili afungwe,
Mungu mkubwa hukumu ilipotoka mbasha kashinda kesi na sasa yupo huru,kilichoshangaza umma wa watanzania ni kauli ya mbasha kuwa bado anampenda sana mkewe flora na yupo tayari kuendelea kuishi nae,najiuliza kwa vitendo vyote alivyotendewa na huyo mwanamke bado anampendea nini?Huyu jamaa alirogwa?
Amerukwa na akili? Unampendaje mwanamke aliyetaka uozee jela? Watu wa karibu na mbasha msaidieni huyu jamaaa maana anakoelekea ni kutafuta kifo,msimcheke pls msaidieni tu.
Mapenzi ya wanandoa ni tofauti na ufikiriavyo. Utashangaa soon wanarudiana. Mungu ni mwema
The best revenge is 4giveness
Hivi flora kabila gani????
hongera mbasa.
japo wasojua maana halisi ya ndoa hasa ya kikristu watakubeza sana.umetimiza wajibu wako mengine muachie mungu ahukumu yy.
wajibu wako ni samehe tu,hayo mengine si wajibu wako ni wa mungu.
safi sana na hiyo ndo tafsiri sahihi ya kuhubiri injili kwa vitendo na kujitwika msalaba wako kumfuata kristu.km mnalitazama jambo hili kimtaani zaidi mtamuina jamaa mjinga.lkn jamaa kamuaibisha shetani sana kwa kufanya hivi
Gwajma akisoma hili andiko lako atakucheka sana..maana hujui ulisemalo
Khaa!! Mapenzi two way trafic vinginevyo ni ujinga :cool2:upendo wa kweli huvumilia, hauhesabu mabaya, hauna sababu, husahau yote, hauishi moyoni milele, hauna unafiki!!! yereeeee uwiiiiiiii Mbasha amependa kikweeee kikweliiiii
Chezea maloveee weyeee acha kabisaaaa