Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Ushasahau mi ni kajukuu ka mtume? Hukumbuki nilikuambia ningekufumania kwenye masantula???Hahahahaa kuolewa na mtu aliyeachana na mkewe kuna raha zake na karaha zake, hasa mke japo kaachika najua atanisumbua tuu maana James ni mcharoooo nahisi atakuwa anatamani kurudiana na James ila ndo hivoo .........
Halafu kwani babu wewe ulishasomea utabiri? Au James alikunong'oneza alichoniambia kuhusu oktoba? Mmmh umejuaje hii habari ya oktoba?
Endelea kusubiria ziara zangu za kustukiza....
