Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
- Thread starter
- #101
Kasinde Huyo kaaga yupo jangwani kikazi...
Hahahahahaa mwenzio kafa kaoza kwa Kasie kasema atarudi kazini jumanne ila huku dar atakuja tena baada ya pasaka hapo ndo kaniambia hatonipa hata sekunde ya kupumua hadi kibibi bin ajuza mie nimzalie mtoto khaaa.
Mwenzio anataka mtoto jilengeshe mie na kulea mbali mbali...
