Teh teh teh!! Huwa mna ushauri mzuri kweli when it comes to women. Sijui hizi akili huwa mnaziazima wapi inapotokea jambo linamuhusu mwanamke[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Kwa hiyo mume akilega unamkaza kwa kuchat na ex?
Hapo ndipo wanawake mnapokosea....kosa likifanyika usilimalize kwa hasira utasababisha madhara ambayo utakuja kushindwa kuyatatua maisha yako yote.
Huwa nakuwa sipo...weka basi nishauri kuhusu mwanamke.Teh teh teh!! Huwa mna ushauri mzuri kweli when it comes to women. Sijui hizi akili huwa mnaziazima wapi inapotokea jambo linamuhusu mwanamke[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Ndio Maana kila Nilifikiria kuoa Nasikia sauti ya malaika wanasema Acha kuwaza upumbavu Utakufa mapema... Haah
Hata mimi ni hvyo hvyo mkuu,ndo maana nikifkria kuoa aiseee napata tabu sanaa ,nipate mwanamke wa kumcontrol yeye.Maex wangu wote hakuna ambae anachomoa nikimtaka hata awe kaolewa na nani. Wengine huniambia madhaifu ya wanaume zao na kujilaumu kwa nini hawajaolewa na mimi. huwa nacheka tu
Hatari fire sanaa mkuu,yani hadi aibu kuna mmoja ndo niliamua kurecord maongezi yangu na yeys akinielezea kuhusu mume wake hamsugui vzuri yani nouuma nakaa naskliza yale maongezi yangu na yy nlio rekodi naishia kuhuzunika na kucheka pia najisemea hiiiiiiiiiiiiiii kumbe walioa ndo wanamajanga hv kuna mmoja tena naye hvyo hvyo,,kwakweli mlioko kwenye Ndoa mnakufa mapema sanaa kuliko wanawake zenu.Dah hatari sana mkuu
Sasa wewe huyo unaishi naye kwa akili?Mlioko kwenye ndoa jamani natamani niiweke maongezi yangu na Ex wangu mmoja hv kaolewa na Engineer wa ............... Na ana hela sanaa lakn mke wake anavyoniambia kila kitu kuhusu yeye utafkr mimi ndo ndugu yake na mambo mengne ya Ndani kabsaaa na anasema bwana ake ana mb..... Ndogo hamfkshi n.k mambo mengiii mnoooo ,,yani hapo ndo umeoa huyo mwanamke na Expose mambo mengne nje ambayo wewe hutafkr kama atayasema nje lakn anayasema aloooo hawa viumbe si mchezooo.
Ndo maana siku zote nawaambia,WANAWAKE TUISHI NAO KWA AKILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyemuoa ndo anatakiwa aishi naye kwa akili.Sasa wewe huyo unaishi naye kwa akili?
Kwa hiyo, hiyo ndiyo akili unayotushauri!Aliyemuoa ndo anatakiwa aishi naye kwa akili.
Mimi naishi naye kwa akili ndo maana sifumaniwi na ninaendelea kula mzigo.
Kwahyo ajiongeze yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu kwa sauti, Ila nmewaza mbali lolEx: njoo room namba 10
Mlango unagongwa, Ex kafungua kakutana na njemba sita.
Mume mtu: kijana mbona mbichi kabisa unanigongea mke? Haya ndo tumefika tukupe adhabu gani?
EX(kwa sauti ya kutetemeka) : Nyie tu.
Haswaaah matapishi hayarudishwi kinywaniMimi nina ex.anakuja kwa kasi ya 5G naona siku mbili hizi ntamlima block ya nguvu...
Sirudiagi makombo mm
Yanii hata anavyotuma sms zake.
Usiwaze mbali sana, utachoka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu kwa sauti, Ila nmewaza mbali lol
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule FB ulipocopy na ukapaste hapa umewapa taarifa?Ex: Eliza mambo
Eliza: poa tu nani!!
Ex: aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
Eliza: hayo hayakuhusu sema we nani.
Ex: mi Fredy Mcharo
Eliza: jamn mzima wewe za siku!!
Ex: nzur tu nimekumiss.
Eliza: we si uliniacha bwana...
Ex: hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
Eliza: ndio hivyo ningefanyaje sasa
Ex: bado unaishi kwenye moyo wangu.
Eliza: mmh asante
Ex: Niko tanga kwenu.
Eliza: mmh kweli umefikia wapi?
Ex: lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda
Eliza: haya bhna karibu kwetu.
Ex: mmh namuogopa mumeo
Eliza: hofu yako tu
Ex: njoo hata unisalimie jamani. nimekumiss sana.
Eliza: mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex: Niamini bado nakupenda naomba uje.
v-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex: poa saa ngap.
Eliza: Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
Ex: poa ntakuambia chumba nilichopo.
Eliza: wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex: please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Eliza: wee ndio munasemaga hivyo hivyo
Ex: please siwez niamini
Eliza: sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
Ex: poa usijar mamy.
Eliza: sawa .
Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.
Ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......
Fuatiliaa hii.........
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
Eliza: ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
Ex: Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana
Eliza: sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
Ex: Hawez jua atajuaje sasa!!
Eliza: jua hivyo tu....usitume text amekuja...
Ex: poa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Eliza: nambie
Ex: poa kaondoka
Eliza: ndio ila akija ntakuambia.
Ex: poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
Eliza: ntaangalia asipokuwepo.
Ex: mmh so akiwepo
Eliza: mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
Ex: sawa.. nakupenda sana
Eliza: nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
Ex: sitaweza dear!!!
Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!
kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!