Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.
pepea kipepeo .
photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.
Wanababi wanaoneemeka kwa wizi na si bora kama unavyowaita, tafadhali rekebisha usemi wako.Makapi yote ndani ya CCM aka losers yanakimbilia CDM.
CCM inabaki na wale wote walio bora!
Walio bora kama Lowassa, Chenge, Rostam, Mramba....Makapi yote ndani ya CCM aka losers yanakimbilia CDM.
CCM inabaki na wale wote walio bora!
Tatizo lako mulisha zoea Photoshop za Kikwete hivyo kila ukiona picha una dhani ni Photoshop pole sana fatilia kama juzi hawa kuwa Impala hotel.....photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.
Siku chache baada ya kuchakachuliwa hatimae vijana wawili Elirehema Kaaya na Wiliamu Sarakikya watangaza nia ya kuhamia Chadema kama uchaguzi hautafanyika upya.
Walisema uchaguzi uliofanyika rushwa ilitumiaka kwa kiwango cha juu sana, hivyo hawako tayari kuendelea kukaa kwenye chama cha mafisadi wanaotumia kodi ya wananchi kujinufaisha kwa faida ya familia moja wameahidi kama uchaguzi usipo rudiwa basi wana hamia chadema kwenye chama makini na kuwahakikishia jimbo hilo linaenda chadema, haya yalijitokeza usiku wa kuamukia jana baada ya kuamua kukutana na kamanda Godbless Lema kwenye hotel ya Impala ilikuangalia uwezekanao wa kuhamia Chadema.
Nilifanikiwa kujipenyeza na kuchukua picha ingawa haionekani vema.
Wa kwanza kulia ni Elirehema Kaaya katikati ni Kamanda Godbless Lema na kushoto ni Wiliam Sarakikya.
wakiwa kwenye kikao cha siri hoteli ya Impala Hotel.
Kinachowaleta CDM sio mapenzi yao kwa chama bali kutaka kumdhoofisha Siyoi ili mwishowe waseme TUMEKOSA WOTEHata hawa ni mafisadi wa Uongozi...kwanini wasijitoe kabla ya uchaguzi??
Tatizo lako mulisha zoea Photoshop za Kikwete hivyo kila ukiona picha una dhani ni Photoshop pole sana fatilia kama juzi hawa kuwa Impala hotel.....
Ubora wao hatuupimwi kwa mbwembe za waandishi uchwara na habari za magazetini. Tunawapima kwa kubalika kwao na jamii na utendaji wao. Kama Wanachi wa Monduli au Bariadi wanawakubali...wewe wa Dar es salaam unamkataa kwa vigezo gani?Walio bora kama Lowassa, Chenge, Rostam, Mramba....
Very good CCM, walio bora watupu.... Mtashinda chaguzi zote kwa kishindo na walio BORA wenu tehe tehe tehe...
Very astonishing! I have never seen such a secretive mission as mentioned by the informer being attended by the journalist! On top of that, the agent and the principal pausing for a public evidence (photo)!
JamiiForums should revitalize its rules otherwise it is being forced to become the platform for Growing Sinkers
photoshop.....picha ya kuunga kwa kompyuta angalia kwa makini kwa wataalamu wa picha za photoshop.
Katika watu ambao huwa hawaaminiki humu JF hata kwa kuliko punje ya mchanga ww uwa humo, kwa mashaka na picha yako lazima yawepo makubwa sana tu
angekuwa mtu mwingine ningefikiria kuhusu mawazo yako lakini kwa sababu picha imewekwa na crushwise sina shaka nayo. crushwise ndo mtu wa kwanza kutuwekea picha za ukweli za kisiasa na kijamii. naomba usimuharibie cv tena umkome. Nyie ndo mnavunja moyo watu wanajituma. kwani watu kuhamia chadema unaona ajabu hadi mtu atengeneze picha?
angekuwa mtu mwingine ningefikiria kuhusu mawazo yako lakini kwa sababu picha imewekwa na crushwise sina shaka nayo. crushwise ndo mtu wa kwanza kutuwekea picha za ukweli za kisiasa na kijamii. naomba usimuharibie cv tena umkome. Nyie ndo mnavunja moyo watu wanajituma. kwani watu kuhamia chadema unaona ajabu hadi mtu atengeneze picha?