Elirehema Kaaya na Wiliam Sarakikya kuhamia CHADEMA

Siku chache baada ya kuchakachuliwa hatimae vijana wawili Elirehema Kaaya na Wiliamu Sarakikya watangaza nia ya kuhamia Chadema kama uchaguzi hautafanyika upya.

Walisema uchaguzi uliofanyika rushwa ilitumiaka kwa kiwango cha juu sana, hivyo hawako tayari kuendelea kukaa kwenye chama cha mafisadi wanaotumia kodi ya wananchi kujinufaisha kwa faida ya familia moja wameahidi kama uchaguzi usipo rudiwa basi wana hamia chadema kwenye chama makini na kuwahakikishia jimbo hilo linaenda chadema, haya yalijitokeza usiku wa kuamukia jana baada ya kuamua kukutana na kamanda Godbless Lema kwenye hotel ya Impala ilikuangalia uwezekanao wa kuhamia Chadema.

Nilifanikiwa kujipenyeza na kuchukua picha ingawa haionekani vema.

attachment.php


Wa kwanza kulia ni Elirehema Kaaya katikati ni Kamanda Godbless Lema na kushoto ni Wiliam Sarakikya.
wakiwa kwenye kikao cha siri hoteli ya Impala Hotel.

Nimekubali mkuu upo juu.Endelea kutujuza.
 
Very astonishing! I have never seen such a secretive mission as mentioned by the informer being attended by the journalist! On top of that, the agent and the principal pausing for a public evidence (photo)!

JamiiForums should revitalize its rules otherwise it is being forced to become the platform for Growing Sinkers

endelea kuwa tomaso.lakini kila kitu kina mwanzo na ukumbuke hiyo picha inataka kupeleka message kwa ccm.try to be a thinker na sio kukariri mambo!
 
Makapi yote ndani ya CCM aka losers yanakimbilia CDM.
CCM inabaki na wale wote walio bora!
Hawa vijana wenu machachari kabisa mnawaita makapi?

Kweli hamna maana nyie watu!
Watu wamepata kura 200+ unawaita makapi?

hata aliyekutuma hapa akiona hii lazima atakuita kukukemea.
 
Hivi inawezekanaje mtu ambaye jana tu alikuwa anaitwa fisadi kwa sababu ya kuwa CCM leo hii akihamia CDM anakuwa kamanda dhidi ya mafisadi? Ufisadi ni hali,tendo,tabia,mtazamo,falsafa au ni sera??
 
Tatizo lako mulisha zoea Photoshop za Kikwete hivyo kila ukiona picha una dhani ni Photoshop pole sana fatilia kama juzi hawa kuwa Impala hotel.....
Crashwise asante kwa kutubarisha.

Kwa ninavyokujua wewe kwa habari za Arusha sina mashaka na habari hii mara nyingi umekuwa mkweli. Ingawa kabla ya kuchangia chochote itabidi nivute waya nijidhiridhishe zaidi.

Kwa wanaobeza eti kwanini wamejitoa leo hawajui siasa, siasa ni timing ukikosea timing inakula kwako. Wanasiasa wengi mnaowasikia duniani wemejitoa kwa mtindo huu anagalia kina Odinga walikuwa chama kimoja na kina Mwai, Moi, Seif na kina Nyerere na wengine. Kwa hiyo hata hawa inawezekana ndio mwanzo wao wa safari katika siasa za kitaifa tusiwabeze sana. Mwisho nimpongeze Lema kwa kazi nzuri anayoifanya kukijenga Chama Arusha hilo ni jembe CCM wanalihanya ndio maana wanataka asiende kupiga kampeni Meru.
 
in the first place niwaite wapuuzi kwa kuwa wangekuwa ni watu wanaochukia ufisadi na rushwa toka rohoni walishahama ccm siku nyingi maana suala la ufisadi ni kama sera ndani ya ccm na ina ilani yake inayotekelezwa halikuanza kwa uchaguzi huu wa Arumeru.,.pili wanasema uchaguzi usiporudiwa watahama je kwa kurudia uchaguzi ndio ufisadi unakitafuna chama kwa miaka utaisha??wana njaa ya madaraka na hawana nia ya kupinga ufisadi kwa dhati.Tatu kikatiba wana haki ya kujiunga chadema ila nako kuna taratibu na sheria zake! waje wajifunze sheria taratibu na itikadi za chama na kuvaa kijeshi pia ( maana walizoea kijani) kama watataka uongozi wafuate taratibu, CDM sio dampo kama wanadhani hivo wamekosea njia, cdm ni wapiganaji wa kweli na uroho wa madaraka hauvumiliwi najua wapo Arusha na wanajua kilichowapata madiwa kaidi wa Arusha,..
 
Huu ni uwongo mtakatifu!.
Comon sense logic haikubali dhana ya hawa vijana kukutana na Lema Impala mahali ambapo ni open na wakapose kupigwa picha!.

CCM bado haijafanya uteuzi rasmi hivyo madogo hao hawawezi kutishia nyau!. Wana CCM wote wanajua rushwa is the order of the day katika kutafuta uongozi wowote top to buttom, sasa hiyo tisha toto wanataka wamtishe nani?!.

Picha ni picha tuu, haiwezekani ikawa walipiga zamani ila wewe ndio umeitia picha maneno ambayo sio?!.
Pasco mbona unajichanganya...mwanzo umesema ni uongo baadae ukasema wanamtisha nani kwa hiyo unakubali ni kweli?
 
Hata wasingeng'atuka sisiem!
Lile jimbo kuchukuliwa na CDM ni kitu kiko wazi kitambo!
Viva Chadema chama makini kwa Watanzania!
 
Very astonishing! I have never seen such a secretive mission as mentioned by the informer being attended by the journalist! On top of that, the agent and the principal pausing for a public evidence (photo)!

JamiiForums should revitalize its rules otherwise it is being forced to become the platform for Growing Sinkers
Dah! umetiacha sie wa kwa mndolwa!!
 
Watoto wa vigogo wanagombania keki ya taifa kama baba zao walivyokuwa,hi re cycle ya baba,mwana,mjukuu ,zamani nilikuwa nawacheka Wakenya ambao walifanya ubunge au uwaziri mali ya familia zao ,sikujua kuwa yangekuwepo hata Tanzania,ambapo kwa sasa huu Usultani umeshika kasi
 
Sidhani kama tunahitaji watu wliokataliwa kutoka vyama vingine...

Kufanya hivi ni kuudhirishia Umma kuwa hatujiamini na kwamba viongozi lazima watoke au waasi CCM.. Wabaki huko na waendelee na maisha yao...
 
Makapi yote ndani ya CCM aka losers yanakimbilia CDM.
CCM inabaki na wale wote walio bora!
Usiangalia kukimbia kwao angalia sababu maadai ya hawa jaama ni rushwa kwenye chaguzi za CCM hivyo kama wewe kambi yako haina pesa kama za Lowasa basi huna nafasi CCM....na chadema ni chama cha watu wa zalendo, wenye utajiri wa kati, masikini......ila hatutaki mafisadi....
 
Back
Top Bottom