Elirehema Kaaya na Wiliam Sarakikya kuhamia CHADEMA

kikao cha siri umepataje picha banaaaaaaaa sio siri tena hiyo
Alafu wamechelewa huku washagua nahisi walitaka kuwahi kale kamchezo cha JOHN SHIBUDA
chadema wamekoma kuendekeza makombo nahisi hapo lema anawasabahi tu wampe njia tuchukue jimbo basiiiii
Sijui neno siri lina maana gani kwako.....Lakini subiri siku sinyingi utaujua ukweli....
 
Mtani tatizo lako ni mahaba uliyo nayo kwenye chama lako la Magamba.....
Hahaaaaaaaaaaaa.....................Mtani bana.....Nilitegemea ungestick kwenye hoja yangu badala ya hayo mahaba yangu kwa CCM....

Btw....Ni kweli nina mahaba kwa CCM Mtani.....Tena ya dhati kabisa kama wewe ulivyo nayo kwa CHADEMA(napenda kuwaita CHADEMA na si CDM wala Magwanda......)...Ndio matunda ya Demokrasia hayo maana bila CCM,CHADEMA,CUF wala NCCR-Mageuzi hakuna mfumo wa vyama vingi...

Hebu nieleze ukweli Mtani.....Hiyo picha uliipiga kwa siri kweli?,mbona jamaa waliweka pozi????....

Halafu,.....Ina maana hao jamaa tatizo lao lilikuwa ni kwa Sioi tu kuchaguliwa ama?....Vipi kama angeshinda mmojawapo inekuwaje?......Na vipi uchaguzi ukirudiwa wakashindwa tena bado tu watakuwa na wazo la kuhamia CHADEMA?....

 
Chama chetu cha majambaziiiiiiiii chajenga nchi chaama chetu cha majambaziiiiii chajenga nchiii loh!!!!
 
Baada ya kubaini mpasuko uliko ndani ya kambi Mbili za Membe na Lowasa. Ripoti ya Mwigulu imependekeza kukata majina ya Kwanza hadi namba 4, kama njia ya kupunguza uhasama ndani ya chama hivyo itafanya kambi ya Lowasa na Membe zote kukosa kama hili litafanyika litakuwa pigo kubwa kwa Sioi alietumia kiasi cha 100mil kuhonga wajumbe hiyo Huku chama kikitumia kiasi cha mil 68 kama posho kwa wajumbe waliokuwa wakipewa kuanzia 50,000.
 
kwa hilo la kuhama baada ya kushindwa tuwasifie au tuwaite malaya wa kisiasa na siasa za maslahi binafsi? Sasa ndo wanaoona kuwa CCM hakina mweleko? Wangepata je? Nadhani hata kama watahamia CDM bado ni watu wa kuogopwa kama akina Tambwe hiza, Msabaha, Wassira na wengineo. Tukubali kushindwa. Zoezi la kumpata m-CCM lilianza siyo tu siku ya kuteua bali kabla na jw wao hawakuonga au chenji haikutosha?
 
huyo mtoto wa sumari mafisadi wapo nyuma yake na ndo maana ela ilimwagwa sana hata hiyo uliyotaja nadhani ni kidogo, ila inaturahisishia kulichukua jimbo kwani mpasuko wao ndani ya chama ni furaha kwa CDM, wakat ni huu kujipanga, karibuni wote arumeru kuhakikisha mgombea wetu anapita,
 
huyo mtoto wa sumari mafisadi wapo nyuma yake na ndo maana ela ilimwagwa sana hata hiyo uliyotaja nadhani ni kidogo, ila inaturahisishia kulichukua jimbo kwani mpasuko wao ndani ya chama ni furaha kwa CDM, wakat ni huu kujipanga, karibuni wote arumeru kuhakikisha mgombea wetu anapita,
Kutokana na ripoti ya Mwigulu ni kwamba watafutwa wote walioshika nafsi ya 1-4 kwani inasemakama wako kwenye kambi bali ikiwemo ya Membe na Lowasa
 
kwa hilo la kuhama baada ya kushindwa tuwasifie au tuwaite malaya wa kisiasa na siasa za maslahi binafsi? Sasa ndo wanaoona kuwa CCM hakina mweleko? Wangepata je? Nadhani hata kama watahamia CDM bado ni watu wa kuogopwa kama akina Tambwe hiza, Msabaha, Wassira na wengineo. Tukubali kushindwa. Zoezi la kumpata m-CCM lilianza siyo tu siku ya kuteua bali kabla na jw wao hawakuonga au chenji haikutosha?

hao nao wametoa rushwa .sema tu wamezidiwa uwezo wa kutoa rushwa..ha ha ha ha ha ha ...
 
Mkuu Crashwise, mi nina mashaka na hiyo picha! Kwa jinsi inavyoonekana ni kama hao washikaji walikuwa wamekaa wakikata kilaji. Katika ukaaji wao huo, ndipo akaja Mheshimiwa Lema!!! Hapo ninachoona ni kama hao washikaji wakiwa wamekaa; Lema akawaona na akaja kwao kutokea kwa nyuma. Na picha hiyo, inaoensha ni kama amekuja kuwasabahi au kuwauliza chochote kv Lema anaonekana bado amesimama huku akiwa ameegemeza mikono yake kwenye viti vya hao jamaa!!! Man, hiyo kitu mie bado hujaniuzia kabisa...!!! In short, chale zimenicheza....nasepa na mkwanja wangu!!

Mkuu Crashwise; umekuwa hodari wa kujibu hoja mbalimbali zinazohusiana na post yako.....hebu basi jibu na hiyo hoja yangu hapo juu kwavile bado mashaka yangu yametanda akilini mwangu.....!! Au nimezee ki utu uzima?! Mimi na wewe wote ni watu wazima kwenye siasa; kwahiyo ni suala tu la kuninong'oneza kwamba "mezea mzee mwenzangu, hadi watoto washitukie!" na mimi nitamezea, ondoa shaka!
 
Nitakuwa na maswali mawili wakishafanya kitendo.

Ila CHADEMA ijihadhari sana na watu wanaotaka kuigeuza pango la makimbilio wakijuruhiwa ccm. Mwiko!
 
Mh!kama wanatka kujiunga cdm eti kwa kuwa ni chama makini,walitakiwa wafanye hivyo tangu mwanzo,kwa nini iwe sasa baada ya kuondolewa?
 
CCM ya salimu amri yakubali uchaguzi urudiwe ni baada ya Wiliam kutishia kuhamia chadema kama uchaguzi usingerudiwa sasa mchuano ni Sioi Sumari na W.Sarakikya, uchaguzi utafanyika tarehe 01/03/2012
 
Back
Top Bottom