Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Tafadhali nipatie chanzo cha hari yiyo ili niweze kuchangia.......
Ninavyofahamu mimi, lengo la kwanza kabisa la vyuo vya elimu ya juu hapa nchini ni kutoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa taifa kwani si kila mtanzania anaweza kumudu kusoma vyuo vya gharama ya juu nje ya nchi. Suala linalobaki sasa ni jinsi elimu hiyo inavyotolewa na vyuo hivi nchini: Aidha kama ni bure au kwa watanzania kuchangia.
Tafadhali naomba chanzo cha habari hii. Kama NW-Elimu ametoa kauli hiyo, basi inatia shaka kwa uwezo wa baadhi ya viongozi hapa nchini.
Nadhani lengo la kwanza lisiwe ni kutoa wataalamu mbalimbali kwani wataalamu wanaweza kupatikana bila kuelimika.
Lengo la vyuo vikuu libakie ni kutoa elimu. Na baadaye walioelimika wachague kuwa wataalamu.