Elimu ya juu sio lazima kwa watanzania serikali yathibitisha

I smell sentiments of a very selfishperson. Your taxes my ... Siyo kwa sababu wew unafanya kazi ndio udhani wewe pekee unalipa kodi kwa sababu tu unakatwa kutoka kwenye mshahara. Kama huafahamu kila mtanzania analipa kodi. Sijui unafahamu kitu kinaitwa VAT. KUpitia hiyo kila mtu hata bibi yako analipa akinunua chumvi, kiberiti, diseli (ambayo anatumia kama mafuta ya taa kwa ababu hawezi kuafford mafuta ya taa) na hata akitaka kununua sindano ya uunganishia kanga yake iliyochakaa analipia kodi. Sasa wewe haya madai ya kuwa wtz hawalipi kodi unayatoa wapi? Nikupe mfano mwingine; mifugo ng'ombe, mbuzi, kondoo sina hakika kuhusu punda yote inalipiwa kodi kwa mamia kwa kila kichwa. Msihalalishe ufisadi wenu kwa kudai wtz hawalipi kodi, wanalipa sana ila mnazifisadi na ndio maana hamtaki watanzania wasome kwa sababu manajua siku ujinga ukiwatoka mtawaeleza kodi zao mlipeleka wapi.
Wote mnaoshabikia hili swala mnakimbilia kwenye kusema eti elimu ya bure kwani nani amesema anataka elimu ya bure. Nchi zilizoendelea ni watu wachache sana wanaojisomesha kwa pesa yao zaidi ni mikopo (loans)
na financial aids. Serikali lazima iwe mdhamini wa watu wanaotaka kusoma maana hakuna benki inayotaka kumpa mkulima mkopo bila dhamama. Wote mnaochangia hapa ninaamini mna walau shahada ya kwanza na zaidi ni ajabu iliyoje watu mliosoma ( na wengi wenu mmesoma bure mkipewa nauli na pesa yakununulia chupi) leo hii muanze kudai eti elimu ya juu si lazima. This is pathetic.

First of all naomba unitake radhi mara moja! Huwezi kuniita FISADI! Fisadi ni wewe basi, fisadi wa fikra!
Hunijui wala hujui kazi ninayofanya! Unakuja kwenye forums na kuwapaka watu label! Unaonyesha kuwa wewe ni mvivu wa kufikiri na mwenye mtazamo finyu! Na hapo nimekuheshimu, maana ningekumwagia matusi mengi sana, you arrogant *****!
Unasema SELFISH person! SORRY! To be selfish is HUMAN. usitake kuniletea hapa sera za Ujamaa na kujitegemea na kusema eti like this and like that eti undugu!
Mimi sijasomeshwa bure, hujui historia yangu, sikupewa chupi ya bure na serikali! I worked from day 1 nilipoingia chuoni mpaka namaliza!

I wanted to get out of the way, the personal part and now for the facts:
Unasema kila mtu in Tanzania analipa TAX, yes indirectly! Lakini tunaofanya kazi na kuendesha kampuni tunalipa pia direct TAX. Naomba niulize, hivi wewe unaendesha kampuni? Au ni mwajiriwa unayekaa ofisini na kuongea tu? Officially, companies have the highest tax burden in the WHOLE region, tumewazidi hata Kenya. Zaidi ya hiyo VAT unayoizungumzia sana, we have monthly taxes int he form of NSSF, PAYEE, we have 30% company tax, na kama unapata mshahara as employee of your own company, bado unalipa personal taxes, ukiingiza vifaa unalipa Custom, duty etc. Apart from that I provide Health insurance for my employees (private health insurance).

So screw you! You have no idea what kind of employer I am and how much I contribute to this society, which is more than you and you flapping mouth!
 
Dang homie, I didn't know you can go hard like that. You must have been really teed off by what dude/dudette said...

Be easy...
 
Karibu ukumbini Kapteni..Maelezo mazuri kwa upande unaoutetea, ila sidhani kama susuviri ni fisadi, Susuviri ni muungwana tu tuko naye hapa mida tu.Ila nimezimia analysis minus susuviri kuwa fisadi.
Once again karibu.

JMushi1
Thank you, lakini huyu mgeni amenikera sana si siri! I enjoy good debates lakini not labeling. Anyway mkuu, naona wewe uko upande wa pili wa sarafu, hebu tukate issues.
You see we have to admit one thing:
In order to ensure free health and free education etc, what do we need? We need to have the resources, right?
Tumejenga ujamaa for many decades, and what has been the result? Let us be honest? Mwaka 1985, Tanzania tulikuwa hatuna hata mswaki, tulikuwa tunaagiza kila kitu kutoka nje. Our economy was at its knees. Our exports were not sold abroad because our banking system and financial system were not competetive. We cannot build a UTOPIAN society.
If that is the case, we have to become realists. we should cease demanding UTOPIAN dreams and get down to the reality and make it work for us.
Whichever country we look at, tunaona kuwa in order to ensure quality education there has to be consensus in the society how we go about it. And you cannot put the burden on the few employees and employers because that is not fair. Why don't we become the Asians, where you see parents sacrificing in order for their children to study. Hapa utakuta wazazi wengi hawajali watoto wao wanafikia wapi na tumekaa kusubiri serikali itusaidie, it will not happen because govenrment is limited and should stay that way. We are the change we have been waiting for. Siyo kusema eti change will come from outside, from donors, from SERIKALI. Ni mawazo haya ambayo unfortunately yamebaki from Ujamaa na tunataka kuiendekeza.
 
Dang homie, I didn't know you can go hard like that. You must have been really teed off by what dude/dudette said...

Be easy...

Nyani my dear friend! Sisi ni watani wa jadi, lakini hata siku moja hujawahi kunitusi hivyo! Ilibidi niende kutafuta presha pills zangu! Duh!
You know from this point of view, we could actually debate generally about this attitude. Taking it to American politics, despite concerns by American public when Obama said 'spread the wealth' lakini it is clear that he was not talking about free education, free health etc.
Lakini kuna watu humu wenye mawazo finyu waliosoma na kukariri Ujamaa na kUjitegemea bila kui-challenge na hawajaikuta wanasimuliwa, sasa wanataka kui-romaticize. Si tulioishi chini ya reality of Ujamaa tunajua kuwa ni UTOPIA. so let us get down to real solutions.
BTW, is it true about your employer committing suicide? Pole sana!
 
excuse you? Wewe ni mtoto wa mwisho nini? Hujazoezwa kuambiwa ukweli ..

We jina lako tayari linaonyesha hulka yako! Leta hapa argument zako siyo kufurahia wenzako wanachoandika. Ukweli unaozungumzia exists in your brain alone! Naomba nikuulize kwa kushabikia maandishi ya huyo mchangiaji, ulikuwa unakubaliana naye kuwa mimi ni fisadi na kuwa nilipewa chupi bure? Is that ukweli? Usipende kushabikia tu na kuleta maneno ya kejeli! Ujiulize kwa nini nimekuita mvivu wa kufikiri.
 
Nataka nijue jinsia yako, kwanza huenda naongea na MWANAMKE MJAMZITO. Nisingependa kuwa responsible na miscarriage.
 
Nyani my dear friend! Sisi ni watani wa jadi, lakini hata siku moja hujawahi kunitusi hivyo! Ilibidi niende kutafuta presha pills zangu! Duh!
You know from this point of view, we could actually debate generally about this attitude. Taking it to American politics, despite concerns by American public when Obama said 'spread the wealth' lakini it is clear that he was not talking about free education, free health etc.
Lakini kuna watu humu wenye mawazo finyu waliosoma na kukariri Ujamaa na kUjitegemea bila kui-challenge na hawajaikuta wanasimuliwa, sasa wanataka kui-romaticize. Si tulioishi chini ya reality of Ujamaa tunajua kuwa ni UTOPIA. so let us get down to real solutions.
BTW, is it true about your employer committing suicide? Pole sana!

I heard that!

Yeah it is true that my boss (not employer) took his life on Thursday morning. We found out on Friday. Boy I tell you, it was not easy. I took it hard but handled it like a man.

Anyways, I'm out of this sucker. Time to go to bed. Peace
 
Nataka nijue jinsia yako, kwanza huenda naongea na MWANAMKE MJAMZITO. Nisingependa kuwa responsible na miscarriage.

Hahahaaaa! Umenichekesha my friend! Have a good night! Sleep it off as I will also, then we will take it up tomorrow. Maybe you can become a good debate partner like Nyani, as long as you can keep your humour! Tuendelee kukata ishus!
 
I heard that!

Yeah it is true that my boss (not employer) took his life on Thursday morning. We found out on Friday. Boy I tell you, it was not easy. I took it hard but handled it like a man.

Anyways, I'm out of this sucker. Time to go to bed. Peace

Have a peaceful sleep, my good friend! Maisha hayo!
 
Hahahaaaa! Umenichekesha my friend! Have a good night! Sleep it off as I will also, then we will take it up tomorrow. Maybe you can become a good debate partner like Nyani, as long as you can keep your humour! Tuendelee kukata ishus!

Ni kipi hapo cha kuchekesha? Nimekuuliza jinsia yako, unaanza kujichekeshachekesha. Au huna jinsia?

FYI: Ndio nimeamka ..
 
FYI: kuhusu jinsia yangu au jina langu au my line of business: none of your business. Ili uridhike I am a haemophrodite! BTW I see you have no sense of humour. Endelea kuleta ishu za maana and don't try to get personal. I have moved on and I have said what I need to say. Good morning!
 
Haemophrodite? I can understand the temper & kujifaragua.

Hasira za mimba changa zenu msizilete hapa JF. Kupingana kwa hoja ni suala la kawaida na hata mtu kuitwa fisadi haiumi kama mhusika si fisadi. Sasa sijaelewa jinsi unavyokuwa hysterical kama kweli wewe si fisadi.

Actually, sina haja ya kukujua personally, kwa sababu SINA SABABU na ninaomba Mungu NISIWE NA SABABU MILELE. Wewe ndio uliyeleta mambo yako ..eti

-sijasoma bure (hakuna aliyekuuliza na hamna anayetaka kujua)
-nalipa kodi (Huu ni ujinga wa hali ya juu, kwani kila mtu analipa kodi)
-nalipia wafanyakazi wangu private hospital (show-off za dizaini ya 'kihaya')
etc

KIMSINGI HUNA HOJA..
 
Kabla ya kusema haya maneno alosema huyo waziri, inabidi kwanza waiboresha elimu yenyewe iwe ya maana na sio huu ubabaishaji uliopo sasa hivi! Elimu ya bongo imeoza toka vidudu mpaka huko chuo kikuu...ni "routines" flani tu ambazo hazielimishi zaidi ya kukaririsha wanafunzi ambao baadae ndio wanaitwa wasomi wakti hamna kitu!!!.

Sita shangaa kama mpaka leo "Ngoswe...Penzi kitovu cha uzembe" bado kinadundika madarasani! "M-University Physics," "ma-mikate," e.t.c......yaani wanatumia mivitabu mikongwe kupita hata umri wa babu yangu!!! Halafu ooooooh eti hiyo ndio elimu wakati wanafunzi wanakariri past papers tu na kitu kinakuwa ndani ya box.....

Badilisheni mitaala kabla ya hili longolongo, walau basi "elimu yenyewe" tunayotaka kuizungumzia iwe yenye thamani!

Very good observation YNIM, but the question is why is the education quality so pathetic? Because we are trying to disperse the money for free education from kindergarten to university and we are spreading it too thin.
I say, we should strengthen basic primary education and make it meaningful and free.
People should be encouraged to open Vocational schools instead of academies and international schools, in order to provide skills to our children.
After primary school, people who cannot afford higher education can opt for vocational school that will give them skills ina relatively short time. They can start apprenticeship at the age of 16 and by the age of 18 be a meaningful part of the work force. If later due to their own effort, loans and limited scholarship reserved for the best and brightest, they can study in college and university that is for the better, if not, they have skills that will allow them to earn a decent living and also will be tax paying members of this society.
This is a fair system which would allow people to become self reliant and not depend on SERIKALI for everything, and to wait for everything to be given to them.
I wouldn't hire any of the UDSM graduates, because they are most of the time: under performing, arrogant and think that their piece of paper means anything and have poor communications skills not only in English but more and more in Kiswahili as well. I prefer young people from colleges and vocational schools who are practical, hard working and always ready to learn and improve.
Unfortunately for our graduates, today most large companies are recruiting Kenyans instead if they need graduates because of such problems. And until we face up to the reality of this, we will continue to go downhill and whine all the way to the pit bottom.
 
Kabla ya kusema haya maneno alosema huyo waziri, inabidi kwanza waiboresha elimu yenyewe iwe ya maana na sio huu ubabaishaji uliopo sasa hivi! Elimu ya bongo imeoza toka vidudu mpaka huko chuo kikuu...ni "routines" flani tu ambazo hazielimishi zaidi ya kukaririsha wanafunzi ambao baadae ndio wanaitwa wasomi wakti hamna kitu!!!.

Sita shangaa kama mpaka leo "Ngoswe...Penzi kitovu cha uzembe" bado kinadundika madarasani! "M-University Physics," "ma-mikate," e.t.c......yaani wanatumia mivitabu mikongwe kupita hata umri wa babu yangu!!! Halafu ooooooh eti hiyo ndio elimu wakati wanafunzi wanakariri past papers tu na kitu kinakuwa ndani ya box.....

Badilisheni mitaala kabla ya hili longolongo, walau basi "elimu yenyewe" tunayotaka kuizungumzia iwe yenye thamani!

hahahaha...babu mfumo mzima unahitaji overhaul ya nguvu kuanzia walimu wanaofundisha, mazingira wanayofundishia na mazingira watoto/ waafunzi wanayosomea hadi mitaala. mpaka sasa sidhani kama tunaweza kufanya hivyo maana kama tunaweza tungekuwa tumeshafanya.

wewe fikiria, eti unakuta shule iliyojengwa kwa matofali ya udongo, paa limeezekwa na nyasi, mvua ikinyesha hakuna cha kusoma wala kujifunza kitu. au unakuta madarasa yenye paa za bati na joto la lile la tanzania ikifika mida ya mchana utakoma ubishi. bati linakuwa la moto halafu linasababisha darasa na lenyewe liwe na joto kichizi. basi hapo kikwapa mtindo mmoja....

but you know what, every cloud has a silver lining. the survival skills that one learns from these type of environments is second to none. in other words if you make it through there, you will be better equiped with the skills to make it anywhere....
 
Very true Nyani! Once niliwahi kuulizwa na babu moja huko kijijini kwamba katika mazingira kama hayo uliyoyaelezea hapo juu, kuna haja gani ya kumlazimisha kila mtoto aende shule? Na pia babu alieleza, mtoto huyu akitoka shule anarudi kuchunga ng'ombe haendi kujenga gari! Sasa serikali kwa nini inatumia rasilimali zake kumpa ujuzi ambao hautumii katika maisha yake ya kila siku? Nilishindwa kumjibu kwa mara moja, because I knew that it is a simplistic view but it did make sense in this environment. And who are we to judge what is best for a child in Rukwa or Lindi? Hii ishu haiko simple hivyo.
 
Nyani Ngabu said:
hahahaha...babu mfumo mzima unahitaji overhaul ya nguvu kuanzia walimu wanaofundisha, mazingira wanayofundishia na mazingira watoto/ waafunzi wanayosomea hadi mitaala. mpaka sasa sidhani kama tunaweza kufanya hivyo maana kama tunaweza tungekuwa tumeshafanya.

wewe fikiria, eti unakuta shule iliyojengwa kwa matofali ya udongo, paa limeezekwa na nyasi, mvua ikinyesha hakuna cha kusoma wala kujifunza kitu. au unakuta madarasa yenye paa za bati na joto la lile la tanzania ikifika mida ya mchana utakoma ubishi. bati linakuwa la moto halafu linasababisha darasa na lenyewe liwe na joto kichizi. basi hapo kikwapa mtindo mmoja....

but you know what, every cloud has a silver lining. the survival skills that one learns from these type of environments is second to none. in other words if you make it through there, you will be better equiped with the skills to make it anywhere....

Nyani Ngabu,

..Tanzania sasa hivi wamekazana kujenga vyumba vya madarasa lakini wamesahau vitabu, daftari,kalamu, laboratories, na WAALIMU.

..hapo nilipo-highlight kwa rangi nyekundu...that can be an impediment if you know better. kuna maeneo watoto kufika shule wanakatiza vijito na maji yanaweza kufika level ya kifua. lakini since they dont know better wanaendelea tu na shule kwa juhudi na furaha tele.

Susuviri,

..I really like your idea of expanding vocational training in Tanzania. but what level of vocational training/certificate one needs to attain to be admitted to the University?

..i think most Universities dont recognize vocational training certificates other than FTC. je, vijana waliosoma kwenye veta wanaweza kupanda ngazi na kufikia FTC level?

..sina uelewa sana wa certificates za veta na ndiyo maana nina maswali mengi.
 
JokaKuu,
Salamu mkuu! I do know that VETA in Tanzania is screwed because they have made it simply an alternative to secondary school. But ideally it should have a real college value which then allows you with some additional apprenticeship and work and entrance exam to qualify for university. I know that a number of European countries have similar systems.
 
Wote mnaopiga kelele humu mnapeleka watoto wenu St. Mary au aina yake ambazo gharama zake ni kubwa kuliko University. Na bado mnataka elimu ya university kuwa bure.
 
Back
Top Bottom