Molembi TV yako. Uliyonunua ni watts ngapi? Ni DC TV au no ac TV ?
Watts sijajua ila wameandika 100volts-240volts.
Molembi TV yako. Uliyonunua ni watts ngapi? Ni DC TV au no ac TV ?
Watts sijajua ila wameandika 100volts-240volts.
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mutapata mawili au matatu lakin pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali.
Ni ukweli usipingika kuwa watu wengie wanauelewa wa hii nguvu lakin pia nahakika kuwa kwa namna moja ama nyingine elimu ni bahari.
Kwangu nimefunga
1. Panel ya 160w (made in ujerumani).
2. Dry battery ya 500N (made in Ujerumani)
3. Inverter ya Victron/Phoenix) 12v, 350va (made in Philipine) ambayo ni auto na hina kelele
4. Dash board 15A/ solar power controller aina ya Steca/Solarix PRS 1515 ya (made in zhing zong)
Na vifaa tajwa hapo juu vinategemeana na matumizi yako ila mimi nina run
TAA
1Watt 5pcs...vyumbani na chooni
2Watt 6pcs...sebureni, corridor na store
3Watt 9pc...nje
Hizi zinauzwa pale Quality Centre moja 5000/ na zinamwanga wa kutosha kama nilivyoeleza hazili umeme mwingi tofauti na zamani kipindi nanunua niliuziwa taa zenye watt 10 mpaka 20 ziko kama tube light hizi za sasa ni bulb ambazo kimsingi ilikuwa hata TV kuangalia ni anasa maana taa tu hazikeshi usiku kucha.
(Nilizibadirisha kwa kununua kwanza chache ili nitest mwanga nikakuta zipo poa kabisa) so ikanilazim nibadiriahe zote.
Zinasambazwa na Step Entertaiment hawa jamaa wa Bongo movie.
Na kwa hakika hapa kwenye taa ndo wengi wetu tunaumia maana taa zinakuwa ni A kizamani wakati tech ime advance sana
Nina Flat Tv 32"
Nina Laptop
Ambapo nimekuja kugundua laptop inakula umeme mwingi sana kuliko flat tv maana unaweza kuangalia tv siku nzima na ukawa safi tu kuliko tofauti na ukitumia laptop. Hapa siongelei tv zile za zamani zenye shape kama kisogo maana ninayo lakin nilishindwa kuitumia kwenye solar.
FAIDA
Haitatokea hata siku moja vifaa vyako kuungua
Pia gharama yake ni mwanzo tu wakat unanunua vifaa.
HASARA
Umeme wake hautoshi mahitaji yote mf pasi, jiko, fridge japo siku hiz zipo water pump, pasi, fridge na freezer za solar ila sijajua utendaji kaz wake.
Cha zaidi nashauri Panel yako iwe upande ambao jua ndo linaonekana kwa asilimia kubwa japo panel zingine zinahitaji mwanga tu then unatosha kuchaji betri yako.
Na fundi aifunge panel sambamba na bati ili kuisaidia uchafu ama vumbi kuwa linatoka lenyewe na hii itasaidia ufanisi wake pia, kuliko kuifunga horizontal maana itasababisha uchafu na vumbi vigande juu yake.
ANGALIZO
Vitu muhimu vya kuangalia wakati wa manunuzi ni Panel, Betri na Inveter ila kama utahitaji kuwa una chaji simu au radio au tv na kama ni taa tu hauhitaji inverter.
Wataalam munaweza kuongezea hapo.
Pamoja
alfred.kohi@kcd.co.tz
Molembi TV yako. Uliyonunua ni watts ngapi? Ni DC TV au no ac TV ?
samahani,ninahitaji kununua dryer ya mkono yenye 230v na invertor yangu imeandikwa h-160..12v Dc to 230v Ac..je nitaweza kuitumia vizuri tu?
Betri ya ukubwa gan na panel..?
Molembe pole nimechelewa kuona swali lako naomba unipm nikupe namba yangu unipigie nikusaidie
panel ni watt 60 na betri ni 50Ah
panel ni watt 60 na betri ni 50Ah
Ni kweli, umeme mionzi ni mkombozi. Nimemua kutokununua UPS sasa Ninatumia Mionzi Jua ni raha mustarehe ofisini.
Unatakiwa kuongeza uwezo wa system yako.
Pengine ungemuuliza anataka iyo system ikae kwa mda gani wakati wa usiku? Ukishajua ndo umwambie aongeze ni na nini ili kukuza mfumo wake. Lkn ukimwambia aongeze uwezo wa mfumo wake kwa asie na taaluma na hayo mambo unamuweka njia panda.
Ni hayo tu..
hivi vyote ilikughalimu shilingi ngapi na kwa sasa inaweza kufikia bei ganiBy Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online
Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah
Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.
Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...
Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mutapata mawili au matatu lakin pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali.
Pamoja
alfred.kohi@kcd.co.tz
Battery yako ina Ah. ngapi?Asante sana mtaalamu kwa ushauri mnono.
Nimeshindwa hesabu za matumizi.
Naomba Msaada: Nina 200Wpanel na 12V DC battery. Inveter matching size
Nimeweka inveter kwendaAC. Sasa kwa maasa 10 usiku niweke bulb za 40 W energy saver ngap?? Thanks
Asante: ni 12 DC 150 AhBattery yako ina Ah. ngapi?