Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

Kwanini uunge in series kwani utapata 24v hiyo inverter itaungua kinacho takiwa ni current kubwa km unataka current nyingi unga in parallel 'the more the current the more the energy'
Ndo nimefanya hivyo maana pv ni 100w+200w zipo parallel. Na betri ni n100+n120
 
Elewa hoja yng kabula hujaibuka!
Katika masuala hayo huwezi ukaunganisha betri zenye ukubwa tofauti halafu utegemee muujiza. Mfano una panel ya wat 100 huwezi kuunganisha betri ya wat50 na nyingine ya wat60.
kwakifupi unapo ongelea umeme wa solar nikwamba unatumia umeme wa betri kazi ya solar panel niku charge betri
 
mkuu@jubilant msaada kwenye tuta mimi ninatumia betri ya maji aina ya voltmax maji yamepungua sasa nimepata mkanganyiko kuna baadhi ya watu wananiambia niweke maji baridi wengine wananiambia niweke makali kwa sababu yaliyomo ndani ya betri ni makali tafadhali naomba msaada kabla sijaua betri
Kiongozi niwie radhi kuchelewa kuona bandiko lako! nilitingwa na majukumu!
Sitaweza kukupa jibu la moja kwa moja kwani sifahamu state ya batery yako kwa sasa. Na ili nikupe jibe sahihi inabidi nitumie kifaa kinaitwa hydrometer kujua concetration ya acidity ya batery...
ila kama imepungua maji fanya jambo moja mwaga maji yote kwenye betery nunua maji mapya makali na yabaridi.
hakikisha wakati unaweka maji 65-70 % iwe maji makali na 30-35 % iwe maji baridi..
 
asante kwa msaada kama hutajali nauliza ni kwa nini niweke maji ya baridi wakati yaliyokuwemo ni makali
 
asante kwa msaada kama hutajali nauliza ni kwa nini niweke maji ya baridi wakati yaliyokuwemo ni makali
Kifupi Battery za electrolyte zinatumia sulphuric acid na Maji ndo zina contain charge maji ambayo yana hydrogen yanahifadhi + charge. sasa unapoiunganisha + - ndio unaapata zile nguvu kutoka kwenye sulphate zikiwa released ndio zitawasha gari au taa.
 
mm naomba kuuliza kurefu cha neno N kweny mabetr ina tofaut gan na WATT kwenye solor... na microfarade
 
Solar Panel ikifungwa ni sharti ielekee upande wa kaskazini. Hii ni kutokana na hali ya kijiografia tulivyo. Tanzania tupo chini ya mstari wa ikweta kwaiyo jua hukaa kwa mda mrefu kaskazini kuliko kusini. Na kwasabab hatuko mbali sana na mstari wa ikweta ht uelekeo wa pembe(angle) ya kufuata uelekeo wa jua kwa huo upande wa kaskazini ni lazima iyo pembe(angle) iwe kati ya 7° hadi 15°. Ila kuna wanaosema pia iwe kati ya 10° mpk 15°. Wote wako sahihi.
Hiyo 7° hadi 15° ni kipimo cha nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi hapo nina wasi wasi, battery ya 500 Ah kujazwa na panel ya 160 watts. Alafu hiyo battery ya 500ah nitaipata wapi maana naona bei yake ni nzuri sana, maana deep cycle ya 200Ah made in India ni 500,000. Mimi niwashauri wadau kitu kimoja, hili uwe na mfumo mzuri ni vyema ukamtumia mtaalamu wa mambo ya solar, maana kuna vitu vingi vya kuangalia ikiwa ni pamoja na ukubwa wa vitu unavyotumia, maeneo unakokaa unapata jua jua linalochoma direct kwenye panels kwa masaa mangapi na unataka bank yako ya umeme (battries) itumike masaa mangapi baada ya jua kuacha kuchoma panels. Kuna vitu vingi vya kuangalia lakini kwa kuanza hivi ni vitu vya msingi kuvijua kwanza.
Sijapata kuona betri ya 500ah nafikiri aliitoa ugaibuni au ni zile zinazopigwa kwenye minara na panel 160w hata kama in geuniun haiwezi kuchaji kwa wakati labda Siku tatu

Panel ili ichaji betri kwa muda wa Masaa 3 hadi 4 sharti ilizidi betri kwa mfano betri 100N ili lichajiwe kwa haraka yaani jua liwake masaa 3 hadi 4 tu baadae inyeshe mvua hadi usiku unahitaji panel 180w hadi 200w sio chini ya betri

Panel ilizidi betri parefu hapo utachaji kwa muda mfupi tu

Kwa sehemu uko sahihi lakin kitaalamu inabidi solar watt ziwe chini kidogo ya buttery ampia ili current ziweze ku flow kikamilifu na kujaza buttery kikamilifu haitakiwi solar iwe na watt nyingi tena zaid ya mara mbili ya buttery isipokuwa kinyume chake maana utanunua buttery kila mwezi, Kwa kifupi ndo ivo.
 
By Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online

Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah

Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.

Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...

Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
Safi mkuu, he Inventor 300w N100 solar 100W naweza Sasha Ac jokofu la 2000w?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera sana. Je bado system yako inafanya kazi vizuri? Kuna kitu nimejifunza kwako nami nawaza kuwa mfuasi wako.

Ahsante

By Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online

Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah

Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.

Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...

Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
 
By Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online

Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah

Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.

Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...

Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
Kaka naomba namba yako nahitaji your consultation. Plz and plz
 
Kwanza kabisa naomba nitahadhalishe kuwa mimi sio expert wa hii kitu ila nahakika walau mtapata mawili au matatu lakini pia naamini wataalam zaidi watakuja kufafanua na pengine kujibu maswali.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wengi wana uelewa wa hii nguvu lakini pia nahakika kuwa kwa namna moja ama nyingine elimu ni bahari.

Kwangu nimefunga

1. Panel ya 160w (made in ujerumani).

2. Dry battery ya 500N (made in Ujerumani)

3. Inverter ya Victron/Phoenix) 12v, 350va (made in Philipine) ambayo ni auto na haina kelele

4. Dash board 15A/ solar power controller aina ya Steca/Solarix PRS 1515 ya (made in zhing zong)

Na vifaa tajwa hapo juu vinategemeana na matumizi yako ila mimi nina run

TAA

1Watt 5pcs...vyumbani na chooni
2Watt 6pcs...sebureni, corridor na store
3Watt 9pc...nje

Hizi zinauzwa pale Quality Centre moja 5000/ na zina mwanga wa kutosha kama nilivyoeleza hazitumii umeme mwingi tofauti na zamani kipindi nanunua niliuziwa taa zenye watt 10 mpaka 20 ziko kama tube light hizi za sasa ni bulb ambazo kimsingi ilikuwa hata TV kuangalia ni anasa maana taa tu hazikeshi usiku kucha.

(Nilizibadilisha kwa kununua kwanza chache ili nitest mwanga nikakuta zipo poa kabisa) so ikanilazimu nibadilishe zote.
Zinasambazwa na Step Entertaiment hawa jamaa wa Bongo movie.

Na kwa hakika hapa kwenye taa ndo wengi wetu tunaumia maana taa zinakuwa ni A kizamani wakati tech ime advance sana.

Nina Flat Tv 32"
Nina Laptop

Ambapo nimekuja kugundua laptop inakula umeme mwingi sana kuliko flat tv maana unaweza kuangalia tv siku nzima na ukawa safi tu kuliko tofauti na ukitumia laptop. Hapa siongelei TV zile za zamani zenye shape kama kisogo maana ninayo lakini nilishindwa kuitumia kwenye solar.

FAIDA

Haitatokea hata siku moja vifaa vyako kuungua
Pia gharama yake ni mwanzo tu wakati unanunua vifaa.

HASARA

Umeme wake hautoshi mahitaji yote mf pasi, jiko, fridge japo siku hiz zipo water pump, pasi, fridge na freezer za solar ila sijajua utendaji kazi wake.

Cha zaidi nashauri Panel yako iwe upande ambao jua ndo linaonekana kwa asilimia kubwa japo panel zingine zinahitaji mwanga tu then unatosha kuchaji betri yako.

Na fundi aifunge panel sambamba na bati ili kuisaidia uchafu ama vumbi kuwa linatoka lenyewe na hii itasaidia ufanisi wake pia, kuliko kuifunga horizontal maana itasababisha uchafu na vumbi vigande juu yake.

ANGALIZO

Vitu muhimu vya kuangalia wakati wa manunuzi ni Panel, Betri na Inveter ila kama utahitaji kuwa una chaji simu au radio au tv na kama ni taa tu hauhitaji inverter.

Wataalam munaweza kuongezea hapo.

Pamoja
alfred.kohi@kcd.co.tz
Habari mkuu. Nimeufatilia mjadala huu wa solar power kwa umakini sana.

Sasa mimi swali langu ni hili
Mimi solar yangu ni watt 120

Nina tv ya watt 55
King'amuzi watt 10
Taa8 za watt 3
Taa 8 za watt 5

Je hapa naweza angali tv usiku na mchana bila tatizo lolote?
 
By Professional mie ni electronics engineer. Ninaishi dar ninaweza kumsaidia yeyote kuhusu hii system bila malipo yoyote, nitakushauri kabla ya kunua na kufunga..online

Nimefunga Solar System nyumbani 2008 baada ya serekali kubadili mfumo na kuleta LUKU service Charge
Nina 2 Panels 90Watts @ = (180Watts)
Batery 7 sealed za 150Ah@ = 1050Ah

Matumizi
Nina Desktop Computer 1
Nina Laptop 1
Nina Solar Frige kubwa 290Lrs
Nina 500Watts Power invetor
Nina 32 Inch TV flat screen
Nina taa 3watts 11 ndani
nina taa 5watts 7 nje
Nina Brender 400Watts
Nina Music system 2000Watts PMPO ikipiga just kama uko disco
Mafundi wanakujaga na machine zao za kukata chuma na mbao wanatumia bila shida yoyote.

Sijutii kufunga solar system sio kwamba niko sehemu ambayo Tanesco hawajapita hapana nguzo ya umeme iko 1 meter kutoka nyumba yangu ila utumwa sitaki, kila siku bei ya umeme inapanda utasiki watu wanalia na kulalamika. 2008 elfu kumi nilikuwa napata 112 units sasa hivi 10,000 hata 38 units hupati
Mabadiliko ya kweli hutokea kwenye fikra na unayoyaona kwa nje ni matokeo tu...

Watanzania Tubadili jinsi tunavyo fikiria life is good
Hii mmeipenda ila sjajua gharama zake zulilikuwa kias gani
 
Back
Top Bottom