akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
- Thread starter
- #101
Hahaha imebidi nicheki ila binafsi nachukia sana hii tabia ya akina Mohamed wao huwa wazuri sana kukosoa tu bila kutoa ushauri au kusaidia chochote.
Huo muda uliotumia kuandika kulasa nzima halafu hakuna cha msingi ulichosaidia, naona na wewe ni miongoni walipitia kwenye mitaala isiyo na tija
Huo muda uliotumia kuandika kulasa nzima halafu hakuna cha msingi ulichosaidia, naona na wewe ni miongoni walipitia kwenye mitaala isiyo na tija