Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Mtaalamu, Pannel yangu ina 200 Watts (China). vifaa nilinunua kwa ushauri wa wenye duka hapo . Mchana situmii kabisa, ila usiku natumia kwa security lights . Kwasasa wamenishauri nununue 11 Watts AC bulbs au lower Watts. Bulb zangu ni 75 Watts na zilichukua masaaa machache kuwaka kabla kuzima kabisa. Naimani niliko Dar jua ni masaa 8.Betri ya N500 unatumia muda gani kuicharge mpaka ijae maana umesema panel yako ni watts 160 ambayo nazani current yake ni ndogo sana kuweza kuchaji battery ya N500 ukilinganisha na maxmum peak sun hours kwa tropical countries ni 4 hours per day pia wakati jua linachaji battery kunauwezekano kwamba kukawa na some runing loads ambazo pia zitakua zinafanya battry lizidi kuchelewa kujaaa,,je kuna formula yoyote umetumia kupata size ya battery na panel yako??je kuna formula umetumia kupata size ya inverter