Mosiwakaya
Senior Member
- Jul 22, 2014
- 185
- 35
Kuna jamaa alinishauri nikitaka panel watts 160 ninunue panel mbili yaani zenye watts 80 kila moja, anasema hz mbili ufanisi wake ni mzuri wakati wa kuchajisha battery tofauti na ile panel yenye watts 160 je, kuna ukweli juu ya hili?