Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

Kontelo Unapozungumzia mfumo wa sola, fikiria vifaa ambavyo ni power sever (inch 32 flat ni chini ya 50w,taa zipo 1w,2w,3w....tofauti ya mwanga ni ndogo mno). Hata hivyo naomba tutambue kuwa jambo la betri ni mtambuka hatuhitaji ukubwa wa betri tu, pia fikiria betri yenye uwezo na sio kujaza madudu majumbani.
MIMI NAITUMIA FLAT 32 48W,TAA 6 @2W NA KING'AMUZI. >pamoja na familia kuangalia mchana, nimeonyesha kombe la dunia mpaka mechi za saa 7 bila kuhofia wateja.
{100ah+120w+ conveter300w} Chini ya M.

Hapa ongeza gharama ya wiring na hii hutegemeana na aina ya wiring.

Solar pekee na Tanesco kwa pamoja maana ya system mbili

Au

Tanesco na Solar lakin lazima ufunge "change over switch"
 
Last edited by a moderator:
Hapa ongeza gharama ya wiring na hii hutegemeana na aina ya wiring.

Solar pekee na Tanesco kwa pamoja maana ya system mbili

Au

Tanesco na Solar lakin lazima ufunge "change over switch"
Naona bora kufunga change over kuliko kuweka mara 2.
Kwan nn madhara ya kuweka change over swich..?
 
Hii si kweli. Naongea nikiwa Electrical and Electronics Engineer.

Sasa hapo Uingineer wako umetusaidia nini? Au unataka watu wajue tu wewe ni fulani tu, so what?

Jifunze kukosoa na kushauri sio ukosoe tu.

Anyways. Hilo liliisha tolewa ufafanuzi kuwa inawezekana kuwa na zote ila inabidi afunge change over switch.

Jitahidi jamii inayokuzunguka ifaidike na elimu yako, sio kukosoa tu
 
Naona bora kufunga change over kuliko kuweka mara 2.
Kwan nn madhara ya kuweka change over swich..?

Kimsingi haina madhara ila tatizo huwa pale inaposhindwa kufanya kazi yake ndo itakuwa shida maana mifumo yote miwili imepita hapo kwenye switch,

Na kazi kubwa ya change over switch ni kubadirisha mfumo wa umeme. Zipo za njia mbili kwa maana ya.

Tanesco/Genarator na Solar.

Mi binafsi naona system mbili tofauti ni nzuri japo inaongeza gharama ya wire sababu mfano taa zote za solar hazipashwi kupita popote, from panel to controller then controller to taa wakati socket zinachukulia solar power kwenye inverter.

Mimi nimeweka option mbili kila pahala yaan tanesco/ganarator na solar japo tanesco naitumia kama backup tu kasoro fridge, pasi na freezer.

ANGALIZO: kama unatumia na ganarator basi hapo lazima uweke change over switch maana tanesco wakikata na ukawasha ganarator sasa lazima uwe na control hata tanesco wakirudisha wakati ganarator ina run pasitokee madhara
 
MFUMO WA SOLA; Una sura mbili ya kwnza ni ya kitaalam, ambayo kwa sasa inawapa watu wengi wakati mgumu (waliofungiwa wengi wanalia, bei kubwa na matokeo hafifu-chukua tahadhari) source:walimu.
Yapili kutokana na uzoefu, hii inasaidia sana, yaani unapata kilichochujwa na unaruka vikwazo au badhi ya changamoto.
Mfano: Kwa wale wanaofikiria kuingia katika mfumo huu nakushauri yafuatayo-betri kavu ni mzuri kuliko ya maji{ah=kavu & N=ya maji}, na inafaa zaidi kuanzia 65ah na kuendelea, upande wa Sola ni kwamba sola inatakiwa izidi betri kwa ukubwa, mfano 65ah=sola 100w, 100ah=150w.+10A charge controller. Tupunguze jazba ili tubadilishane uzoefu,kama hatuko kimasilahi au kibiashara zaidi.
 
Ni kampuni gani nzuri ya sola ambyo panel yake haisumbui.
 
Ni panel aina gani na nitaitambuaje kama ni halisi?
 
Ni panel aina gani na nitaitambuaje kama ni halisi?

Panel halisi zilizo na ubora hutambulika kwa vitu hivi ambavyo lazima viwepo kwenye hiyo panel:
1. Rating plate inayoonyesha vitu hivi
- Power
- Voltage (i)open circuit voltage
(ii)voltage at max. power.
- Current (i)charging current
(ii)short circuit current
- Manufacturer
- Country of Origin
- Quality Certification mark
(i) IEC
(ii) CE
(iii) UL
(iv) TUV
(v) ISO
2. Date/Month/Year of manufacturer.
 
Battery za 500Ah zipo ila nyingi ni 2volts, ambapo kupata 12v inabidi uunganishe battery katika series. Kumbuka ukiunga series unaongeza Vlts na Ah zinabaki zile zile za battery 1, na ukifunga parallel unaongeza Ah, V zinabaki zile zile za battery 1 hata kama umeunganisha Batt 10.

Hili jibu laki linanipa akili nyingine, mimi nina solar na imeunganisha betri 2, nawezaje kutambua kwamba ziko in series au parallel?
 
Panel zipo za kampuni tofauti.
1. Yingli
2. Suntech
3. Kyocera
4. BP
5. Sanyo
6. Schott
7. Photowatt
8. Sharp
9. Istar
10. Shell

Kuna kampun ya sunday... nayo vp ina bei chee aana huku
 
Ahasante kwa elimu hiyo umetaja baadhi ya vifaa Panel na Battery vingine ni vipi na size yake
 
Gharama hutegemeana na matumizi ila kwangu ni kama ifutavyo.
.Panel ya 160watt ...500,000/-
.Sealed battery 500N ..500,000/-
.Phoenix Auto Inveter 12V/350VA..400,000/-
.15A Controller 250,000/-
.Base ya panel 30,000 hili ni chuma (angleline ambalo halishiki kutu) linakatwa then linaungwa kwa umeme japo wengine huunga mbao.

Wireing inategemeana na ukubwa na matumizi yako, mf kwangu nimeweka system mbili tofaut na zinajitegemea Tanesco na Solar, maana yake ni kwamba nimefanya a complete wiring system zinazojitegemea na pia nilijiwekea standards kuwa sitaki extension cables ndani na nje ya nyumba so utakuta ukuta mzima umejaa socket za umeme maana kila kitu kinachukulia ukutani and mind u kuna socket za tanesco na za solar.

Bei ya bulb 5000/- kwa watts yoyote (1,2 au 3) kila moja so itatemeana na idadi

Huu ni mwaka wa tatu sasa na sijajuta na pia nataka niongeze tena walau panel moja na betri yake kwa ajiri ya fridge tu

Kwa mahesabu hayo nimewekeza zaidi ya 3m ila pia si lazima uanze kwa level hiyo hapana, unaweza kuanza kidogo kidogo hasa kwenye wiring lakin panel na battery lazima upate vitu geniune

Naona bei zipo juu nimeenda kuulizia kariakoo round about ya msimbazi kama unaelekea kamata jumamosi iliyopita inverter watts 500 ni 90000tshs ni zile ndogo ndogo, solar pannel watts 150 ni laki 2.5 mpaka laki 3, charger controller ni kati ya 80 mpaka laki na nusu na inaweza pungua kutegemea na size . Nafikiri mzigo wote huo ni kutoka china ubora wake sijui
 
Najua, achana kabisa na vitu vya kariakoo, majority ni fake.

Nipe mahitaji yako ntaku designia kitu kizuri.

Pia kuna duka moja pale red cross house junction ya bib titi na moro, kawaone au gerezani kote huko pan maajent wa hii makitu.
 
nimesoma coments za wachangiaji wengi naona zinapishana pishana coments nyingi hazimalizii utamu wengi wanabuni na kuvutia kwenye unafuu zaidi wa gharama. kinachokosekana ni utaalamu na hii ni kutokana na mfumo wa elimu katika vyuo vyetu vya ufundi yaani VTC na vya engineering katika nchi yetu ni jambo la kawaida kukuta electrical engineer ana bach or masters hana knowledge yoyote kuhusu solar labda awe amepata exposure ya solar au refresher course ya solar vinginevyo hakuna kwa sababu vyuo vingi havina mtaala wa solar. kuhusu solar iko hivi kwanza yenyewe ni mahususi kwa ajili ya maeneo ambayo kupata source nyingine ya umeme ni vigumu kwa hiyo kwa matumizi ya kawaida kama taa tv na kucharge simu cost sio kubwa ila ukihitaji zaidi kama jiko pasi na mengineyo gharma lazima iwe kubwa coz hiyo ni luxury. na ukitaka kuishi kijijini kama unaishi mjini lazima itakugharimu sana.
 
Mkuu Mohamed Ngwasu, mbona hujanyoosha hayo maelezo yanayopishana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom