Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

kuongeza satellite au channel,
nenda main menu search satellite list
pale chini utaona rangi na function yake mbele unachagua
ukitaka kuadd frequency na symborate yake una unabofya arrow ya kulia,pia utaona rangi pale chini na function zake.
ukifuta hivo utaweza kuadd satellite na frequency.

nimefanya hivyo lkn channel zlizokuja hazionyeshi ni fanye nini ili zionyeshe
 
Azam sports HD inatatizo gani? toka juzi haioneshi kwetu. Zingine zote kina liver, Madrid, Manchester TV zinaonesha
 
Unapolipia Azam Tv unaulizwa juu ya Customer number wanasema inaanza na TZ100........ Unaipata wapi hiyo?
 
nimelipia kifurushi cha azam pure na kile cha sports kwan inatakiwa nilipie kifurushi kipi?
Mkuu labda tujue channel gani zinazoonyesha, wengi wanakosea kulipa vifurushi. Inabidi ufuate vizuri maelekezo ya kujiunga na kifurushi cha sports.
majukumu mengi mkuu hatujakujibu kwa wakati.
 
Wakuu hongereni kwa kutoa somo zuri sana, binafsi nimenufaika, naomba nijue aina ya kifurushi na jinsi ya kulipia ili niweze kuziona hzo channel za mpira wa epl na FA maana nimeziadd tayar ila naambiwa ACCESS DINIED!!!
 
EPL na FA hakuna. Mwaka jana tulikua tunaona FA, tusubirie wakati mwingine kukitokea maujanja.
 
Wale wa Dar na wanampeg 4(g6),(qsat) wanicheki 0712038088 epl wanapata bule napatikana j Moshi zaidi
 
Back
Top Bottom