Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

Update...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya fta{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Editing..

Sasa hivi wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000

nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... Na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.

aisee nimemkaba mtunikamnyanganya hako kakisimbuz sina dish wala waya ya kupatoa moto ila kadi ipo naweza nikakitumia? Dish yoyoye inatumika hapo ...ama mpaka nipate ya azam.? Bora nimeuona huu uzi
 
Unaweza tumia dish lolote ilimradi size ile ile,mf gulf,star sat nn,na uekekeo ule ule,tafuta fundi tu wakufunga mrembo

Game ya Manchester city leo iko live kupitia crtv na sasa league ya Italy iko live kupitia rai Italia channel iko azam tv pia. Jumamosi epl wanaonyesha match ya saa 12 jioni kupitia crtv kwenye iko other channels
 
Game ya Manchester city leo iko live kupitia crtv na sasa league ya Italy iko live kupitia rai Italia channel iko azam tv pia. Jumamosi epl wanaonyesha match ya saa 12 jioni kupitia crtv kwenye iko other channels


Series a iko live through rai Italia as roma wanacheza now azam tv channel number 680
 
Usikose mechi za league italy na league ya uingereza kwenye rai tv na CRTV leo kwenye azam tv. CRTV iko kwenye other channels na rai iko number 116.
 
Kuna mpira live kati ya inter Milan na Atlanta kwenye rai Italia channel number 680 na Manchester city versus crystal Palace kwenye crtv iko kwenye other channels ndo wanakalibia kuanza
 
Naomba kuuliza king'amuzi cha Azam kinaongezeka Chanel upande wa Chanel za ziada kama AMC,CBS na nyingine nyingi ila hazionyeshi.. Je kuna uwezekano wa fundi kuzifungua au haiwezekani?? Naomba kujua hilo ili kama inawezekana nitafute fundi
 
Kuna live match ya chan kati ya uganda na mali iko rts 1 iko azam tv kwenye other channels
 
Usikose game za chan za saa moja na nusu kwenye rts 1 iko kwenye other channels now ivory coast versus Morocco iko live
 
Back
Top Bottom