Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hapa kwangu king'amuz cha azam kina side 3,redio then tv ambako unapata kina itv,eatv na tv kibao za nnje za kizungu then kuna side ya 3 ya menu uko pia kuna tv nyingi za kihindi na huko utamkuta star tv ndugu

asante sana nilishapata baada ya kwenda kule palipoandikwa factory
 
Kama unaishi ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania kuna chance ya kupata beams za stelite kadhaa zenye fta nyingi nzuri..Ukiwa na dish moja kubwa(angalau 6ft) na dogo(angalau 3ft) unaweza kuunga unga ukapata channels nyingi nzuri tu.

Lakini pia lazima uwe na receiver nzuri angalau mpg4..ambazo siku hizi zipo nyingi sana madukani tena kwa bei rahisi tu..
kama utahitaji naweza kukuuzia azsky g6..ipo kwenye hali nzuri..

samahani ndugu,mie nipo kusini huku je naweza kupata hizo Fta mnazotaja hapa..nna kadishi kangu kadogo,sijawaelewa,nahitaji msaada wako
 
Wadau, kama tulivyoahidi tutatoa tamko rasmi kuhusiana na Azam Sports HD na La Liga. Wakati ndio huu umewadia.

Azam Sports HD sasa iko hewani ndani ya AzamTV. Ni mwendo wa FULL High Definition (HD) kwenye chaneli namba 411. Angalia mechi zote za La Liga kwenye ubora wa hali ya juu kabisa ndani ya HD ukiwa nyumbani kwako. Ligi inaanza ijumaa ijayo, 21 Agosti, kwa mechi kati ya Sevilla na Malaga. Angalia mwisho hapa utapata ratiba zaidi ya mabingwa watetezi Barcelona, Real Madrid na wengine katika wikiendi ya ufunguzi wa La Liga.

Je, utaipataje Azam Sports HD?

Hakikisha unalipia kifurushi kipya cha NYONGEZA cha AZAM SPORTS kwa shilingi 15,000 tu! Piga *150*50*5# angalia salio, fanya malipo, kisha piga *150*50*5# tena na sajili huduma mpya.
Kifurushi hiki kitakuwa na chaneli za Azam Sports HD, Manchester United TV, Liverpool TV na Real Madrid TV.
Ili kupata kifurushi hiki ni lazima uwe na kifurushi mama kama Azam Pure, Azam Plus, Azam Play, au kifurushi cha kihindi Pekee ndio uongeze hiki cha Azam Sports. Angalia chaneli za vifurushi kwenye profile picha yetu.

Chaneli hizi za Manchester United TV, Liverpool TV na Real Madrid TV ambazo zilikuwa kwenye kifurushi cha Azam Play cha 30,000 tu, sasa zimetolewa kwenye hicho kifurushi. Kwa walio lipia tayari, utaendelea kuzipata hizi chaneli hadi tarehe 13 September 2015.
Kwa sababu hii, kifurushi cha Azam Play kimebadilishwa bei kuanzia leo toka 30,000 na kuwa 25,000 kwa mwezi. Vile vile kifurushi cha Azam Play sasa kitakuwa na nyongeza ya zile chaneli za kihindi za shilingi 6,000. Kwa hiyo ukilipia 25,000, utazipata pia hizo chaneli za nyongeza za kihindi.

kifurushi cha nyongeza cha Kihindi (Indian Add On cha shilingi 6,000) kitabaki kuwa cha nyongeza kama kilivyo sasa hivi kwa kifurushi cha Azam Pure na Azam Plus kwa bei ya shilingi 6,000 kwa mwezi.

Vile Vile kama tulivyoahidi kwa muda mrefu, sasa tumetimiza na kuongeza pia chaneli ya TV 1 kwenye chaneli namba 119 kwenye vifurushi vyote.
Mbali na hiyo chaneli, tumeongeza pia chaneli ya ETV Telugu (namba 724) na Rishtey Asia (namba 754) kwenye vifurushi vya Azam Play, Kihindi Pekee na Kihindi cha nyongeza.

Kama hizi chaneli hazijaingia kwako, nenda kwenye local chaneli yoyote au chaneli namba 100 na king'amuzi chako kitafanya update mara moja.

Mbali na mechi ya ufunguzi wa La Liga ijumaa tarehe 21 Agosti, usikose kumuona Messi na Barcelona wakichuana na Athletic saa moja na nusu usiku jumapili tarehe 23 Agosti, wakifuatiwa na Sporting Vs Real Madrid saa tatu na nusu usiku. Ratiba nyingine zitafuata baadae kidogo.

Pia kuna baadhi ya mechi za VPL zitakuruka LIVE kupitia kwenye Azam Sports HD wakati huo huo zikiendelea kwenye Azam TWO kama kawaida.
 
Mambo gani sasa haya? hampo serious kabisa na kazi nyie. Simnatuambia burudani kwa wote? Hiyo ndio burudani kwa wote? Acheni hizo.Kama mmeamua biashara fanyeni hivi Kifurushi cha Azam pure ibaki kama ilivyo. Kama mtu anataka nazakihindi iwe 15000 kwa mkupuo mmoja. Hiyo ya HD tulipie 20,000 pamoja na Chanel za Azam pure kuliko kutulipisha marambilimbili. Kifupi mnaniudhi kwa nyongeza ya vufurushi. Halafu mnashindwa kujua kuwa bei inapokuwa rahisi ndio wateja wanaongezeka lakini chakushangaza burudani kwa wote bei inazidi kupaa.Naomba mpunguze bei ya vifurushi. Pia VPL yetu iacheni azamtwo kama kawaida kwa vile ndio iliosababisha tununue visimbusi vyenu.Mkiendelea kutubana ni bora twende vibanda umiza kitu amnacho mtapoteza wateja.Yaani hali za uchumi wa wananchi mwazijua lakini mnafumba macho na kutupiga tu marungu ya kichwa.Mh! tupeni burudani kwa bei tunayoiweza jamani
 
Wadau, kama tulivyoahidi tutatoa tamko rasmi kuhusiana na Azam Sports HD na La Liga. Wakati ndio huu umewadia.

Azam Sports HD sasa iko hewani ndani ya AzamTV. Ni mwendo wa FULL High Definition (HD) kwenye chaneli namba 411. Angalia mechi zote za La Liga kwenye ubora wa hali ya juu kabisa ndani ya HD ukiwa nyumbani kwako. Ligi inaanza ijumaa ijayo, 21 Agosti, kwa mechi kati ya Sevilla na Malaga. Angalia mwisho hapa utapata ratiba zaidi ya mabingwa watetezi Barcelona, Real Madrid na wengine katika wikiendi ya ufunguzi wa La Liga.

Je, utaipataje Azam Sports HD?

Hakikisha unalipia kifurushi kipya cha NYONGEZA cha AZAM SPORTS kwa shilingi 15,000 tu! Piga *150*50*5# angalia salio, fanya malipo, kisha piga *150*50*5# tena na sajili huduma mpya.
Kifurushi hiki kitakuwa na chaneli za Azam Sports HD, Manchester United TV, Liverpool TV na Real Madrid TV.
Ili kupata kifurushi hiki ni lazima uwe na kifurushi mama kama Azam Pure, Azam Plus, Azam Play, au kifurushi cha kihindi Pekee ndio uongeze hiki cha Azam Sports. Angalia chaneli za vifurushi kwenye profile picha yetu.

Chaneli hizi za Manchester United TV, Liverpool TV na Real Madrid TV ambazo zilikuwa kwenye kifurushi cha Azam Play cha 30,000 tu, sasa zimetolewa kwenye hicho kifurushi. Kwa walio lipia tayari, utaendelea kuzipata hizi chaneli hadi tarehe 13 September 2015.
Kwa sababu hii, kifurushi cha Azam Play kimebadilishwa bei kuanzia leo toka 30,000 na kuwa 25,000 kwa mwezi. Vile vile kifurushi cha Azam Play sasa kitakuwa na nyongeza ya zile chaneli za kihindi za shilingi 6,000. Kwa hiyo ukilipia 25,000, utazipata pia hizo chaneli za nyongeza za kihindi.

kifurushi cha nyongeza cha Kihindi (Indian Add On cha shilingi 6,000) kitabaki kuwa cha nyongeza kama kilivyo sasa hivi kwa kifurushi cha Azam Pure na Azam Plus kwa bei ya shilingi 6,000 kwa mwezi.

Vile Vile kama tulivyoahidi kwa muda mrefu, sasa tumetimiza na kuongeza pia chaneli ya TV 1 kwenye chaneli namba 119 kwenye vifurushi vyote.
Mbali na hiyo chaneli, tumeongeza pia chaneli ya ETV Telugu (namba 724) na Rishtey Asia (namba 754) kwenye vifurushi vya Azam Play, Kihindi Pekee na Kihindi cha nyongeza.

Kama hizi chaneli hazijaingia kwako, nenda kwenye local chaneli yoyote au chaneli namba 100 na king’amuzi chako kitafanya update mara moja.

Mbali na mechi ya ufunguzi wa La Liga ijumaa tarehe 21 Agosti, usikose kumuona Messi na Barcelona wakichuana na Athletic saa moja na nusu usiku jumapili tarehe 23 Agosti, wakifuatiwa na Sporting Vs Real Madrid saa tatu na nusu usiku. Ratiba nyingine zitafuata baadae kidogo.

Pia kuna baadhi ya mechi za VPL zitakuruka LIVE kupitia kwenye Azam Sports HD wakati huo huo zikiendelea kwenye Azam TWO kama kawaida.

yani nilipie 15elf kwa upuuzi wa laliga wakati io ligi iko fta.? azam mnataka kuleta shida eeeehhhhh simbirisi nyieeeeee.
 
mkuu pH -25 hebu tusaidie namna ya kuipata kwa kutumia Azam dish laliga fta
 
Arsesnal TV lini, nilisikia mnasema mtaileta.
 
wakuu nimefunga azam juzi ila hamna start tv,na baadhi ya channel chache kama Nat Geo Gold nnazozipenda...nimelipia kifurushi cha azam play na cha mpira...msaada tatizo ni nini!
 
ImageUploadedByJamiiForums1443954078.554890.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1443954127.086738.jpg

Clone.
Bei ni 120,000/-

0715-240140
 
Kila nikiwasha TV king'amuzi chenu kinaanza kuupdate....mnaupdate nini kila siku mnanipotezea muda....
Acheni uzembe
 
mmiliki wa uzi huu hafanyi kazi azam tv bali amejitolea kuwasaidia wa tz wenzake zasa izo malalamiko zako wapigie huduma kwa wateja uwaambie.
 
Back
Top Bottom