Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hapa kwangu king'amuz cha azam kina side 3,redio then tv ambako unapata kina itv,eatv na tv kibao za nnje za kizungu then kuna side ya 3 ya menu uko pia kuna tv nyingi za kihindi na huko utamkuta star tv ndugu

Mkuu hiyo side ya 3 unaipata vipi.!
 
Msaada jamani. Nimelipia Azam pure, lakini naona zipo chnl za azam pure, isipokuwa chnl 3, za liver pool, madrid na Man U pekee zimeongezeka. Nifanyeje?
 
Wadau nimeona azamtv wamepost kuwa wataonyesha la liga, mwenye idea anisaidie, wataonyesha mechi zote? Na je kwa kupitia channel gani?

Wanarusha zote kupitia azam two na pia msimu uliyopita walikuwa wanarusha league za Italy na Germany kila jumamosi kupitia zbc2, kwa hiyo hata mwaka huu pia wanaweza onyesha. Bila kusahau fox sport wanaonyesha championship, league one na Copa delay. Nbs tv championship league
 
Tofauti ipo mkuu kwenye kwaliti ya picha..kwenye waya wa kawaida picha inakuwa kama imepauka kidogo ukilinganisha na kama unatumia hdmi..

Asante Mkuu kwa taarifa. Nimejaribu ni kweli tofauti ipo kama ulivyoeleza. Asante mkuu...
 
mbali na watoto nilimaanisha kuwa gharama zake zinazidi kupanda kila kukicha ndio maana binafsi naiogopa na kuamua kutumia fta.(free to air)

Mkuu asante sana. Nimekusoma.

Ina maana kwa uelewa wangu wa harakaharaka unaweza ukaweka Receiver ya kwako ukapata channels za kutosha pamoja na nyengine za burudani bila ya malipo yoyote kwani hutumii receiver ya AZAM.

Ili kufanya hivi unafanya mabadiliko katika dishi au ni receiver tu ndio unanunua??
 
Kama unaishi ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania kuna chance ya kupata beams za stelite kadhaa zenye fta nyingi nzuri..Ukiwa na dish moja kubwa(angalau 6ft) na dogo(angalau 3ft) unaweza kuunga unga ukapata channels nyingi nzuri tu.

Lakini pia lazima uwe na receiver nzuri angalau mpg4..ambazo siku hizi zipo nyingi sana madukani tena kwa bei rahisi tu..
kama utahitaji naweza kukuuzia azsky g6..ipo kwenye hali nzuri..

anzisheni group la whatsapp ili tupate maujuzi mengi zaidi
 
Wanarusha zote kupitia azam two na pia msimu uliyopita walikuwa wanarusha league za Italy na Germany kila jumamosi kupitia zbc2, kwa hiyo hata mwaka huu pia wanaweza onyesha. Bila kusahau fox sport wanaonyesha championship, league one na Copa delay. Nbs tv championship league

Wameanzisha 'Azam Sports HD', itaanza kurusha matangazo rasmi tarehe 24 August...
 
Wazo zuri la grup la Wasap ila Maexpert tunawapata vip kwa swala hili
 
anzisheni group la whatsapp ili tupate maujuzi mengi zaidi

grup lipo ila utani na mambo ya kijinga hayaitajiki uko utakula ban.

0765 42 99 14 mtafute huyu admin.
 
Wameanzisha 'Azam Sports HD', itaanza kurusha matangazo rasmi tarehe 24 August...

izi mbwembwe zote za nini epl imeanza na tulisema azam hawezi onesha io ligi mkabisha saizi kiko wapi.?
 
Mbona mi Napata ITV na star TV kwenye king'amuzi cha AZAM? au labda zipo kwenye malipo mi huwa nanunua kifurushi cha elfu 20 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom